Data inforamation and knowledge: Lesson for decision makers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Data inforamation and knowledge: Lesson for decision makers

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Mar 17, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ingawa maelezo nayoweza kutoa hapa si ya kisiasa namin yatasaidia wanasina na watendaji wengine ktika kufanya siasa, kazi na maamuzi sahihi.

  Tujiulize swali


  • Tofauti ya data , inforamation na knowledge ni nini
  • Tunawezeje kuhusishanisha maneno haya matatu na matatizo taifa letu lililonalo juu ya kama Nishati, Richmond, Dowans?
  • Kabla ya kufanya maamuzi yenye tija iwe ni ya kisiasa, kitafifa au kikazi mtu anahitaji kuwa na nini?
  • Sifa za information ni nini?
  Nimetumia mfano wa tatizo la nishati sababu ni tatizo nyeti laini linatoa picha kamili ya

  • Mfumo mbovu wa mawasilino ya kiofisi( communication breakdown ) kati ya watendaji na waamuzi( decision makers)
  • Decision makers kutokufahamu ni taarifa zipi u zenye sifa zipi zinatoshelza kabla y wao kufikia kufanya maamuzi fulani
  • mgongano au muingiliano wa majukumu kati ya waamuzi na watendaji na waangalizi.
  Kwa wataalmu wa ICT tumefundishwa kuwa information ni knowlege. Information inatakiwa kuwa na sifa mbali mbali kama vile

  • Accurate-
  • Timeliness-Kwa sabbu tuko katika dharura ya umeme tunahitaji timely info a lakini hii haitakiw kutfumba macho kuangalia accuracy and completeness ya information tunayotumia kufanya maamuzi. Tuliingia mkenge kwenye richmodn sabau decison makers msistizo wao ulikuwa ni timely information
  • Auditable- Source injulikana
  • Complete-
  • etc
  Sasa kitendo cha kugundua kuwa kmpuni ya richmond ilikuwa ni hewa hakikuwa timely kabla hakijaleta madhara. Sasa hapa yanakuja maswali wale waliofanya maamuzi

  • walifanya maamuzi kutumia inforamtion gani kutoka source gani na ilikuw provided na na nani mpaka wasigundue tuliyokuja kugundua baadae.
  Japo kuna internet, japo kila idara ya serikali ina mifumo ya computer, japo tuna waomi wenye Dr na ma Prof ninashawiksiha kusema maamuzi mengi strategic manaagers( Rais, mawaziri, wakurugenzi) wanafanya kutumia just data badala ya kupata information.

  Binafsi siamini katika karne hii bado kuna serikali inaweza kuingia mkenge na kampuni feki. labd tungekuwa enzi za mwalimu nyerere ningeelewa.


  Serikali na watedaji tubadilishe mtazamo wetu juu ya ICT. Inaonekana tunaimba ICT ya kisiasa bila kujua hasa uwezo nguvu na matumiziya ICT katika kutusaidia kufanya maamuzi ya kisiasa, kikazi etc.


  Haya nimeadika hapa yaliongolewa hata na kamati ya mwakeyembe kwa lugha ya kisiasa. Nimeandika kwa lugha ya kitaalamu kidogo ili wanasiasa na decision makers waelewe zaidi


  Decision makers acheni kufanya maamuzi kwa kutumia data. ICT ipo, watu wenye knowledge wapo. Tatizo nini.


  Nawasilisha kwa mjadala.


  soma
  Knowledge Management vs Information Management
  Characteristics of Information « Wasaa's Website
  Au Google "Data Vs Information VS Knwoledge"
   
Loading...