Wapendwa ndio nimeanza ujasiriamali kwenye fani ya Utafiti wa Masoko,nataka kushirikiana na mtu mwenye uelewa kwenye mambo ya Data Entry kama ana kajikampuni kake au ana kompyuta na rasilimali watu wanaojua data entry ambao wanaweza kufanya data entry katika mifumo mbalimbali ie kama Excel ,SPSS n.k na pia kama kuna mtu anaweza kuandaa report baada ya kupata hizo data.Madodoso yanahusu utafiti wa masoko(Market Research),ningependa kukutana na watu wa aina hiyo ili tuongee na tupange mambo tafadhali ni PM