Data bundle Tanzania

Data bundle Tanzania

TIGO napata Gb 1.5 kwa sh. 3000 kwa wiki.
Screenshot_20200205-055348.png

Kuna bei ngapi? Mimi nimenunua leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi

Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
mboba unapigwa sana kulwa yaani gb 1.5 kwa 5000 kwelii?
 
Back
Top Bottom