DARUSO yakabidhiwa kwa 'MWANASHERIA'...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Hatimaye Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aka UDSM imepata safu mpya ya uongozi.Rais mpya wa DARUSO ni Ndugu Itembe Bhukombe ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili Sheria.Makamu ni Bibi Emmy anayetokea Koleji ya Sayansi za Jamii.Hii inafuatia uchaguzi wa viongozi uliofanyika Ijumaa iliyopita.

Hii ni mara ya kwanza,kwa miaka mingi iliyopita,DARUSO kuongozwa na mwanafunzi wa Sheria.Wanasheria walionekana wanajitenga,wanajiona,waoga na kadhalika.Sasa,mambo ni tofauti.Na heshima ya DARUSO irudi...
 
Back
Top Bottom