Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,157 Reaction score 1,447 Jul 4, 2015 Thread starter #21 data said: Mmechemka kuondoka kabla hazijawekwa. Click to expand... Ni Technical mistake yaani na nlijua 2 watu wakishasambaratika ndio basi
data said: Mmechemka kuondoka kabla hazijawekwa. Click to expand... Ni Technical mistake yaani na nlijua 2 watu wakishasambaratika ndio basi
Sosthenes Maendeleo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,743 Reaction score 1,735 Jul 4, 2015 #22 Evelyn Salt said: Sasa kwanini msiende kuzidai mahala husika au movement zinaanzia jf kwanza? Click to expand... hahahahahah movement for change. poleni hata hivyo
Evelyn Salt said: Sasa kwanini msiende kuzidai mahala husika au movement zinaanzia jf kwanza? Click to expand... hahahahahah movement for change. poleni hata hivyo
geee kay Senior Member Joined Mar 21, 2015 Posts 112 Reaction score 63 Jul 4, 2015 #23 tayar tumetekeleza ahadi yetu leo baada ya jana kufikia maazimio magumu hatimaye hela tayar tunawatakia field njema
tayar tumetekeleza ahadi yetu leo baada ya jana kufikia maazimio magumu hatimaye hela tayar tunawatakia field njema
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,732 Jul 4, 2015 #24 louis de broglie said: hahahahahah movement for change. poleni hata hivyo Click to expand... Hii pole ni yangu au umekosea?
louis de broglie said: hahahahahah movement for change. poleni hata hivyo Click to expand... Hii pole ni yangu au umekosea?
City Owl JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 3,780 Reaction score 8,321 Jul 4, 2015 #25 Hela za field zishaingia guys..unless kama si kwa colleges au schools zote zinazostahili kupata..
Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,157 Reaction score 1,447 Jul 5, 2015 Thread starter #26 City owl said: Hela za field zishaingia guys..unless kama si kwa colleges au schools zote zinazostahili kupata.. Click to expand... Kuna college hazistahili kupata?
City owl said: Hela za field zishaingia guys..unless kama si kwa colleges au schools zote zinazostahili kupata.. Click to expand... Kuna college hazistahili kupata?
Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,157 Reaction score 1,447 Jul 5, 2015 Thread starter #27 Well done Daruso-main campus, haya Daruso-Duce hivi kweli ndio mmeamua kuwatesa walimu wa college yenu maana ndio mliobaki hamjapewa hela.
Well done Daruso-main campus, haya Daruso-Duce hivi kweli ndio mmeamua kuwatesa walimu wa college yenu maana ndio mliobaki hamjapewa hela.