The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
najituliza kwake kasuku ee
sitaki maneno sitaki matata ninachotaka ninakipata ooh,kasuku wee Bishanga honey wera a yu tulizana
utakufa na kijiba cha roho mwana hizaya wewe,na nnakwambia hivi wa kupewa kapewa na wastara hazumbuki wa mbili havai moja,utasutwa wewe mtoto wa kiume,boo hujala mchana nini?Maskini Bepari maskini !
Unaibiwa hivihivi! Keshashtuka , umeuza shamba lako la Kiluvya! Ndo anachangamkia tenda !
Shtuka wewe kule migombani sina hakika hata plot kama ushawekeza.
eti wewe, mkuna na mkunwaji.....muona raha nani?
maisha matamu lakini mafupi oohh Bishanga ahera yangoja
inawezekanaje kufanya mapenzi pasipo na subira
uli mwengu wa sasa sii wa kuchezea na kila ukiwaza shida utokea
bora niwe peke yangu baba bora niwe peke yangu[/QUOTE
acha kuwaza shida baby,bishanga mawazo niliyonayo si namna ya kupata hela bali nizitumieje , ni nyingi mno.
Baby wapi twende wiki ijayo,mumbai au phuket?
reference?
utakufa na kijiba cha roho mwana hizaya wewe,na nnakwambia hivi wa kupewa kapewa na wastara hazumbuki wa mbili havai moja,utasutwa wewe mtoto wa kiume,boo hujala mchana nini?
hahahaha beibe The secretary embu amka uniandalie stafutahi.Naona Judgement jana kaota ndoto mbaya eti mko kwa sheikh kwa ajili ya kufungishwa ndoa....kwi kwi kwi....Haya maneno yanaashiria "mdororo au msukosuko wa kiuchumi" uliyokukumba!
Btw ndiyo result ya ulivyokua ukichota maji kwenye ndo iliyotoboka!
keshakopa tena benki eeeh.
Haa! Haa! Haa!baby kaandae mwenyewe leo sijisikii poa
jg ya ngoswe mwachie ngoswe,anayonifanyia TS wayajua weye?Haa! Haa! Haa!
Teh ! Teh !
Acha n'cheke mie nguo zinibane!
Btw ndiyo maana siku zote mi huomba Mungu nisijekumbana na "mdororo wa kipato! "
hembu angalia hapa eti Bepari jitu zima! Jibaba linavyopelekwa jikoni kupika na kuosha vyombo! Ilhali The Katibu yuko kwenye dressin table anaji make up, mishedo milipstick, minini ! n.k
Tumuombeeni dua mwenzetu Bebari kwishney! Meng'emeng'e! Nina wazo la ku' lauche foundation particulary kumhusu !
jg ya ngoswe mwachie ngoswe,anayonifanyia TS wayajua weye?