mmmmmmmmmmmh...... Ushahesabiwa wewe?
hata mi nahisi kuibiwa,ngoja niende kwa fundi makorora,kuna mtu anataka akumbwe na 'erectoral dysnfunction'.Afu bepari mbona "wa mbuzi sana?" ze Katibu muhtasi mbona keshakunanga sana!
Na ameshapata bwn mpya mwenye mihela yake , kitu ambacho hata mi nimekithibitisha.
na watajinyonga kweli ujueNapenda nipate lau nafasi,
Niweze kusema nawe kidogo,
Ooooh The secretary,
Rohoni naumia.......
La kufanya bado sijaliona,
Huenda roho yako ikadunda,
Iko siku utaja nipoza,
Ooooh mamaaa.......
(Darling,upendo wangu kwako umenikumbusha enzi nakula rumba la Kilwa jazz....i love you,mmmmwwwwaaaa).
Wanga wote wakiongozwa na sukununu .zinduna na wajinyonge!
Afu bepari mbona "wa mbuzi sana?" ze Katibu muhtasi mbona keshakunanga sana!
Na ameshapata bwn mpya mwenye mihela yake , kitu ambacho hata mi nimekithibitisha.
Afu bepari mbona "wa mbuzi sana?" ze Katibu muhtasi mbona keshakunanga sana!
Na ameshapata bwn mpya mwenye mihela yake , kitu ambacho hata mi nimekithibitisha.
najituliza kwake kasuku ee
sitaki maneno sitaki matata ninachotaka ninakipata ooh,kasuku wee Bishanga honey wera a yu tulizana
nachungukia dirishani ooh,najituliza kwake kasuku ee
sitaki maneno sitaki matata ninachotaka ninakipata ooh,kasuku wee Bishanga honey wera a yu tulizana
wala hata sijawaona,ujue nini BT jana nimemuuzi mtoto,nilichelewa kurudi.