Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
- Thread starter
- #21
Speaking from my heart, I don't find whites (wazungu) attractive being men or women. Ngozi yao inachakaa upesi na ndio maana magonjwa kama skin kansa yanawapata sana
mkuu...hatuko hapa ku-bash wazungu! Wao pia ni binadamu! Sidhani kama wanachakaa upesi kama unavyodai! Kuna magonjwa yanayoendana na rangi, lakini hayo ni mpaka uwe na scientific evidence. Ama sivyo usitukane rangi ya mtu. We have no power over it kabisa!