Dark days 17/03/20

Mbona hata maji ghali
hill yanapatilana yanapotea. Sequa ndo kabisa hayapo sokoni wiki imepita... kilimanjaro haisogei siku hizi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Fortunatus Buyobe amekupa kibali cha kuandika hii story hapa ?
Kuna watu tunalipia hizi story ujue.
Huyo mpuuzi uliyemtaja ukimkosoa Tu kwamba amecopy huku jf anakulima block Muda huo huo,Acheni kumwendekeza,yeye ndy anacopy hapa jf alafu anawauzia huko telegram

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkute ni buyobe huyo2 maana si rahisi kuna wakati alilalamika kuibiwa story halaf aje kucopy huku
me nimeshajiongeza mkuu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mpeni pole!! Asubiri jumatano nikisha post akopy tena akawalipishe watu wake


Tena this time kwa script iliyopo atajivunia buku buku nyingi sanaaa! Yaani sanàaaaa!


Ila inauma nyie
!! Naivi ndo ID za kujificha hizi basi anjiona mjanjaaaa!!

Sema aliwi mtu kichwa kizembe


Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
My yoga nmekumiss

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Yani huu mwandiko ni wa Kigogo2014 mtupu yani
 
Mafuta bei juu tuache kutumia mafuta.
Nondo bei juu tutumie fito.
Bati mkasi tuezeke na carpets.
Cement haishikiki tutumie blueband kujengea.

Hizi akili ni kwa ajiri ya njaa tu,ili upewe uchawa.
 
Unataka kumtafutia mwenzako balaa
 
Ukiamini au laah ni huna umuhimu wowote humu
So huna madhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…