Mi narudia Tena, Mnao watafuta ndugu zenu hili sio jipya sana ila nawakumbusha tu
👉Baadhi wamefichwa kwenye vituo vya polisi vilivyo mbali na mikoa yenu
👉Baadhi wamesha uwawa (poleni) na wanaendelea kuwa maliza, na nivijana wadogo wadogo sana!
👉 Jipya ni nawakumbusha pia, kuna mtu Yuko mahakamani amesha ambiwa sana akubaliane na mfumo lakini AMEKUWA MBISHI, mwambieni Hawa jamaa hawana haya, kama mnadhani wanaogopa kufanya ilo wanalotaka kufanya, shuhudieni watalifanya live!!
Hawana uoga Tena! Na wamedhamiria kufanya!! Achange karata zake vizuri hawatanii Hawa watu fuse zisha kata!!