Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,874
- 37,653
Tangu mwanzo humu tulisemaMr Guys kuingizwa kingi ninaweza kukubali, anaongea vitu vya kukera na kutonesha vidonda wananchi, sijajua kama analijua hilo.
Ht inside army sio jipya ndo wanaotuua kila siku na kututekaHapo jipya labda ni an army inside an army. Hayo mengine yapo bayana hata kwa layman kama mm. Anyway hongera kwa vitisho vimetufikia.
BT arudi kuwa CEO tena? Mbona kali hiiHt inside army sio jipya
Labda hiyo born town kutaka kurudi kuwa CEO
Au mi sijaelewa
😄
Sio story za kutunagq ila anachosema mbona kipo wazi na kinajulika?Bora na wewe umemstukia huyu mtu mkuu
Na mi hii ndo imenishabgaza ila mengine yote yanajulikanaBT arudi kuwa CEO tena? Mbona kali hii
Atamtisha nani mkuu? Na kwa lipi jipya?Kaja tena kuwatisha na stori ya kuunga unga mliyosubiri miezi 12🤣
Aya aya ya Sudani majeshi mawiliKama hata chikibob mtoto naye anawaziwa kuwa CEO nchi hii ni miliki ya mtu wala sio watu
Wazee wana laana sio vizuri kudharau wasemacho, Mzee Nyerere alionya kumpa kiti chekibob raiti kama angesikilizwa "huenda" haya yote yasingetukuta
Wazee wanaona mbali tuache kuwa tunawapuuza
Hii army within an army imekaa vizuri sana, ngoja siku moja watifuane kwanza ndo akili zitawakaa sawa waelewe kuwa waliosema madume mawili hayaishi zizi moja hawakuwa wajinga
Utuache tuendelee kusherehekea post 2000 za yoga hapa Jamiiforums.comYoga ni team BT
Mtoto wake BT ndie anaeandaliwa, rizmoko according to yoga.Ht inside army sio jipya ndo wanaotuua kila siku na kututeka
Labda hiyo born town kutaka kurudi kuwa CEO
Au mi sijaelewa
😄
Na huyu MZEE ni Nani ??Soma kinyumenyume hahahaha
Badili hiyo id kama kitu kidogo ivyo kinakushindaCode ya Mr mbiinchi ni Nani huyu ??
Mzee Makamba, February na the likesNa huyu MZEE ni Nani ??
Soon or later mtifuano utakuepo navenyewe Kampuni inaonekana Ina nyufa ila watasha wanaziba na maboxMpaka sasa Humphrey Polepole was right in every aspect. Ila hiyo Army inside Army itatugharimu sana kutoka hapo kama ni kweli. The most complicated situation ever!
Na wewe umesoma na Hadi ku-comment 🤦Kaja tena kuwatisha na stori ya kuunga unga mliyosubiri miezi 12🤣
Anamaanisha Son of BT anapangwa kuwa CEONa mi hii ndo imenishabgaza ila mengine yote yanajulikana
Kabla hajarudi atakuwa shimoni
Asituchoshe
Yes hii inakulikana ndo maana kina mak...mba walitupwa njeMtoto wake BT ndie anaeandaliwa, rizmoko according to yoga.
Ok nilikuwa sijamsoma vzrAnamaanisha Son of BT anapangwa kuwa CEO