πππππ sasa mahii, hii ya kurudia unatonesha vidondaa.
Yaan mie nikiona ndani ya story kunae huyo mtoa zawadi, nachukia na kukereketwaa, yaan naumia hatariii.
Sasa wee mahii, mko huko koridoni mnashindwa namna ya kumng'oa kucha huyo mtoa zawadii?? πππππ
Afu vipi kuhusu mpokea zawadi, tunasikia tetesi eti anao anao, jeee?? Kulikoniii??
Tujuzeeee