Vyote hiv Ne polepole na idara nzima ya Taifa ya wazalendo wanafahamu.Wale ambao tulikuwa tuna mfuatilia yule dada na aliyoongea polepole hakuna jipya tunayafaham haya
Na uzuri code zipo wazi!
#anyway acha tusubiri tangazo ss,ht yeye lzm aondoke tu halafu tuone ss#
Na ndo kitakachotokea.Imradi pua imeangalia chini hamna mtu untouchable hapa duniani (refer diddy) linaweza tokea Jambo dogo tu likadondosha empire nzima
Itakuwa ni MASTORWho is Chief India mbona hii code inakuja inakataaa anyone who knows
Who...?Itakuwa ni MASTOR
Huyu sio Roast Tamu kweli?Who is Chief India mbona hii code inakuja inakataaa anyone who knows
Rost miziziWho is Chief India mbona hii code inakuja inakataaa anyone who knows
Exactly π―Vyote hiv Ne polepole na idara nzima ya Taifa ya wazalendo wanafahamu.
Ni guts tu za kuamua.
Ndo maana polepole alikuwa anarudia mara nyingi nyingi kuwa TUNZENI TAARIFA
ππππhiyo cku ndo tutajua baada ya tangazo
Ndo alijaribu ss akapigwa stopNew CEO, alitakiwa ajitahidi asimame na wananchi, Sasa anahatibu koto kwa wananchi na kwa ma God father wake
Ya mlina city haina maji ya kuogelea, nzuri ya kule naogelea na suti langu kwa shangwe ila sasa usiagize supergate , watuchomee mbuzi mzima na juice za kutoshaππππhiyo cku ndo tutajua baada ya tangazo
Ila tutaenda kula samakisamaki ile nyingine ukiacha ya m/city
Kwa raha zetu
Wadanganye tuWa afya teleπ
Mhindi fekiItakuwa ni MASTOR
Ss na yeye analamba nyasi muda umefikaAll in all rasimal znapigwa balaa yaani ni kitengo juu ya kitengo kazi juu yakaz
Na hoa wote ma reporter wanakula posho na mishahara kama yote yaani security ndani ya security hapa hela znachezewa na ma top tuu .sema born town ni master mind hatar π kila aliyejaribu ku messup naye alilamba nyasi itoshe kusema kikao cha panya kumfunga paka kengele hakikuisha waliishia kukimbia:::system ndani ya system:deep state kwenye developing countries wanakimbiza sana coz wana access karibu kila angle muhimu za nch
Kwani urafiki wao unaweza kuwa wa miaka 9 tu?Itakuwa ni MASTOR
π€£π€£ kwamba wewe unaona giza?Wadanganye tu
Mlivyo na roho mbaya
Last time mlikaa 10 days hamtangazi.....
Ila hii najua hii ngoma kazi ikishamalizika hamtakaa sana
Hahaha π π π π nataniq
Ukisema weweWale ambao tulikuwa tuna mfuatilia yule dada na aliyoongea polepole hakuna jipya tunayafaham haya
Na uzuri code zipo wazi!
#anyway acha tusubiri tangazo ss,ht yeye lzm aondoke tu halafu tuone ss#
Mkuu, "kodo dyako"!!, mh, kuliga?Ukisema wewe
Imekua