Dark days 17/03/20

Endelea kutupia vitu. Hii fupi sana. Hello disembaaaaaa.
 

Sisi wafanyakazi wa kampuni tunawaona wote ni sawa na lao ni moja. Yaani Mtoa zawadi na Mpokea zawadi. Wote wataendelea kuwa maadui wetu wakubwa.
 
Sisi wafanyakazi wa kampuni tunawaona wote ni sawa na lao ni moja. Yaani Mtoa zawadi na Mpokea zawadi. Wote wataendelea kuwa maadui wetu wakubwa.
Nimekuwa namkubali sana Yoga ila sasa naanza kumuona kama ana lake jambo sababu hii stori imeanza kuleta picha kuwa CEO wa sasa haya yaliyotokea hakuyabariki bali kalazimishwa na kundi la mtoa zawadi.
 
Wale ambao tulikuwa tuna mfuatilia yule dada na aliyoongea polepole hakuna jipya tunayafaham haya

Na uzuri code zipo wazi!

#anyway acha tusubiri tangazo ss,ht yeye lzm aondoke tu halafu tuone ss#
 
Mi nilimwambia hakuna lolote
Hakuna cha shoot to kill
Hahaha 😆 😂 😆
Ndo alisema wataua,ht watu wachache walioandamana sijaona waliuluwa
 
Hii mbona kama vile prologue flani ivi. Kitu cha "in the previous episode" maanake ulishatuangushia hii plot kwenye episode za nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…