Dark days 17/03/20

Tanzania bado sana yaani Kenya hawana hizi mbanga maana hata Ruto amanunua makanisa yote kwa michango sisi tunabaki na kumwomba Mungu.
 
Ht hivyo nimeanza soma nyizi zake huu mwaka,,zilizopita sijui kihivyo
Anyway ngoja bunge livunjwe tutaona mengi
 
Hivyo vyote ulivyoandika havina maana, kitu muhimu kwa hii nchi ni ajira.Kila mtu akiwa na ajira hakuna mtu atapata muda wa kuikosoa serikali. Hata kampeni hazitakuwa za hela nyingi, tunatumia hela nyingi kwenye kampeni kwa sababu tuna watu wajinga na waliosoma hawana ajira wana njaa. Uhaba wa ajira ndio ulimfanya Profesa akakitukana chuo kikuu na kukiiita Jalala. Hii nchi haina ajira na ajira zilizopo hazina viwango vya kimataifa. Tuna mabilionea wanaajiri watu bila kuwapa Bima, Mafao na Heslb. Na hawa mabilionea wanapewa ruzuku na serikali. Ajira ndio Tatizo kubwa la hii nchi.
 
We're waiting. Bahati nzuri July inaanza wiki ijayo
 
Ule uzi wa july july unapaswa kutafutwa uwe active hiv sasa maana we are near by


 
Sean Paul
 
Ajira ni points 13 na 14, kwenye hiyo list nilio andika.

Ajira ni tatizo.

Pia watu hawana self employment skills, business skills, plans, experience, hawana customers, mtaji, na business space.

Watu wa namna hii watapata ahueni kidogo kwenye DSE shares, BoT bonds na schemes za UTT.

Kitu kizuri ambacho kimesaidia kidogo self employment na kupunguza makali ya ukosefu wa ajira, ni the introduction of app ya DSE hisa kiganjani, hii imerahisisha kununua na kuuza hisa za DSE listed companies.

Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa kiganjani, ili watu waweze kununua na kuuza bonds za BoT kwenye hiyo app (hususan BoT bonds ambazo tayari ziko mikononi mwa watu binafsi). App inaweza ikawa na option ya kucheki cds number ya DSE shares na option ya kucheki cds number ya BoT bonds.

Nyingine ambayo inasaidia kidogo self employment ni kuinvest kwenye schemes za UTT AMIS.
 
Ndugu yangu nimezunguka nchi zilizoendelea wanaofaa kujiajiri ni less than 10 percent. Kujiajiri katika first world countries kuna changamoto kubwa kuliko kuajiriwa. Ajira ina faida nyingi kwa nchi kuliko wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…