Dark days 17/03/20

Dah kama kuna code humu inahitaji utulive sana. Ila natembea na 20th kama code yangu.
 
Huu ni ujumbe wa kibiblia, hauna mafumbo yoyote ya kisiasa yanayo husu Tanzania.

Nimeuweka hapa kuupa publicity, kwa sababu umekuwa ukielezewa vibaya kwa namna moja au nyingine.

Kuhusu siasa za Tanzania, naona Daniel 11:20, kidoogo ni kama awamu ya 5.

Na Daniel 11:21, kidoogo ni kama awamu ya 6.
 
Nimesoma hayo maandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…