AsanteMimi niliposoma Uzi wa mwisho wa Tumia akili "usaliti wa jemedari wa marekani"Uzi huo haukudumu jukwaani!nashukuru mdau mmoja aliufanya kuwa comment kwenye Uzi wa "Raise ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku!!
Sasa nikajiuliza desert mission ni ipi!!?kumbe ni juzi ndio nilijua kuwa "No reform no election" ndio mission yenyewe halafu Kuna Ile" Original plan Ina and out" nikakumbuka plan ya kwanza ilikua ni "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea america itatokea na huku"
SI nikaona Dr. Ntibazonkiza akajiuzulu umakam na nyota kutoka Brazil akapewa kuwa makam in the making yaani mteule kabla ya uchaguzi !ndio nikaelewa kumbe mission imeanza ku tick!!
Nadhani chawa wa mkojani fc wakashtuka na wao na kuja na hoja eti "No reform no election" ni mission ya kuitenga Zanzibar kwenye mchakato wa maamuzi!!japo too late hiyo move ikapuuzwa!!
Ni rasmi wenye mission wame my outsmart mwenyekiti Hadi crew yake imechanganyikiwa na kuanza kuumiza bila mpango maalum!!
Ngoja tuone!!
NAWAZA TU WAKUU!!NIPO TAYARI KUKOSOLEWA!!
Mkuu kwa nini wanatumia muda mwingi, michakato mingi, wanashindwa nini kutumia mabaka kungeuza meza Fasta fastaMimi niliposoma Uzi wa mwisho wa Tumia akili "usaliti wa jemedari wa marekani"Uzi huo haukudumu jukwaani!nashukuru mdau mmoja aliufanya kuwa comment kwenye Uzi wa "Raise ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku!!
Sasa nikajiuliza desert mission ni ipi!!?kumbe ni juzi ndio nilijua kuwa "No reform no election" ndio mission yenyewe halafu Kuna Ile" Original plan Ina and out" nikakumbuka plan ya kwanza ilikua ni "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea america itatokea na huku"
SI nikaona Dr. Ntibazonkiza akajiuzulu umakam na nyota kutoka Brazil akapewa kuwa makam in the making yaani mteule kabla ya uchaguzi !ndio nikaelewa kumbe mission imeanza ku tick!!
Nadhani chawa wa mkojani fc wakashtuka na wao na kuja na hoja eti "No reform no election" ni mission ya kuitenga Zanzibar kwenye mchakato wa maamuzi!!japo too late hiyo move ikapuuzwa!!
Ni rasmi wenye mission wame my outsmart mwenyekiti Hadi crew yake imechanganyikiwa na kuanza kuumiza bila mpango maalum!!
Ngoja tuone!!
NAWAZA TU WAKUU!!NIPO TAYARI KUKOSOLEWA!!
Wakifanya hivyo watalinajisi taifa!!tutaingiza nchi kwenye matatizo na DNA na mitazamo ya mabaka itageuka na kuwa Chachi ya machafuko y Kila mara!!Mkuu kwa nini wanatumia muda mwingi, michakato mingi, wanashindwa nini kutumia mabaka kungeuza meza???
Aiseee hatari sana 🙏🙏🙏Wakifanya hivyo watalinajisi taifa!!tutaingiza nchi kwenye matatizo na DNA na mitazamo ya mabaka itageuka na kuwa Chachi ya machafuko y Kila mara!!
Ndio maana nahisi kwanini the state Inatumia safe process yaani wakupige hukohuko kwenye siasa kimedani!!
Angalia Tumia akili anaandika "Ikiwa sisi nasi tutawapoka madaraka Kwa namna hiyo hatutotofautiana na wao kwa kuvunja Sheria,the state wapo well trained kujua mipaka ya kikatiba,pia hawana feelings towards individual Bali Wana wajibu wa Taifa pekee""
Wakianzisha dhambi ya mapinduzi dhambi hiyo italitafuna taifa tuendapo,mapinduzi yatakua kama dondandugu la kuambukizana!!
Ndio maana naona "Safe process "inaendelea Kwa pressure Toka pande zote kwa wastaafu kama warioba,viongozi wa dini kina Bagonza,father kitima na the like! pressure inakua kubwa ili maamuzi yenye busara yafanyike!wakikataa ndio hivyo sequence and series zitaendelea Hadi kete iingie king!!
NADHANI,NAWAZA ,NAFIKIRIA LABDA NI HIVYO!NGOJA TUONE!
"JAL 1 is done 2 and 3 are next"ndivyo mwandishi anavoandika ngoja tuone JAL 2 and 3 ni kina nani hasa!!?Aiseee hatari sana 🙏🙏🙏
Mkuu naona Hss naye ni wa moto na yuko na Wise Mentor, Mwl wake aliye mfikisha kileleni KJ,
Je KJ Draft kweli hajalisoma, huwa ana fall kweli kwenye kusukuma na kupangua kete yeye na MG Gang?
hapa nimetoka kapa ivunje hata kidogoAiseee hatari sana 🙏🙏🙏
Mkuu naona Hss naye ni wa moto na yuko na Wise Mentor, Mwl wake aliye mfikisha kileleni KJ,
Je KJ Draft kweli hajalisoma, huwa ana fall kweli kwenye kusukuma na kupangua kete yeye na MG Gang?
HSS= SSHhapa nimetoka kapa ivunje hata kidogo
"JAL 1 is done 2 and 3 are next"ndivyo mwandishi anavoandika ngoja tuone JAL 2 and 3 ni kina nani hasa!!?
Hiyo comment ni ya nani au naipatajeMimi niliposoma Uzi wa mwisho wa Tumia akili "usaliti wa jemedari wa marekani"Uzi huo haukudumu jukwaani!nashukuru mdau mmoja aliufanya kuwa comment kwenye Uzi wa "Raise ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku!!
Sasa nikajiuliza desert mission ni ipi!!?kumbe ni juzi ndio nilijua kuwa "No reform no election" ndio mission yenyewe halafu Kuna Ile" Original plan Ina and out" nikakumbuka plan ya kwanza ilikua ni "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea america itatokea na huku"
SI nikaona Dr. Ntibazonkiza akajiuzulu umakam na nyota kutoka Brazil akapewa kuwa makam in the making yaani mteule kabla ya uchaguzi !ndio nikaelewa kumbe mission imeanza ku tick!!
Nadhani chawa wa mkojani fc wakashtuka na wao na kuja na hoja eti "No reform no election" ni mission ya kuitenga Zanzibar kwenye mchakato wa maamuzi!!japo too late hiyo move ikapuuzwa!!
Ni rasmi wenye mission wame my outsmart mwenyekiti Hadi crew yake imechanganyikiwa na kuanza kuumiza bila mpango maalum!!
Ngoja tuone!!
NAWAZA TU WAKUU!!NIPO TAYARI KUKOSOLEWA!!
Nipo kiongoziUlipotea sana mkuu!
Type kwenye searching ya jf "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku"Uzi ukifunguka nenda page (kurasa kuanzia 48,49,50) utaona comment ya huo uzi wenyewe!!Hiyo comment ni ya nani au naipataje
Hii inaonyesha kuna matumaini baadaye. Ni kweli ilisemwa makamu wa rais waType kwenye searching ya jf "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku"Uzi ukifunguka nenda page (kurasa kuanzia 48,49,50) utaona comment ya huo uzi wenyewe!!
Comment namba 982 kwenye huo uzi nine quote utasoma hapo!
Kajaribu!!
Acheni mzaa na mambo ya msingi, taifa bado linalia na utaratibu huu ambao umetufikisha hapa ,na bado wawepo watu wenye calculation za hivi, basi nao watakua vilaza wakubwa.Hii inaonyesha kuna matumaini baadaye. Ni kweli ilisemwa makamu wa rais wa
Marekani aliyejiuzuru kwa usaliti na baadaye mwezi wa nane rais akajiuzuru kwa scandal fulani ikabidi makamu aliyewekwa baada ya makamu aliyejiuzuru ashikilie kiti cha urais bila kugombea. Kama Mpangokazi kajiuzuru na Mchimbachumvi kachukua nafasi. Si ajabu Mchimbachumvi akawa rais ajaye
Original plan Ina and out, desert mission!Mmmmmh mku hii kwani haikusitishwa kweli??
Mkuu,Tulipewa muda Hadi 2022 mchankato wa katiba mpya uwe umeanza,akaambiwa ateue wabunge was kimkakati Ili kukamilisha mpangokazi,Sasa basi tukapuuza Hadi mwezi was Saba 2023 wale jamaa wakachoka kusubiri wakaja na uzi mwingine"usaliti wa jemedari wa marekani"wakasisitiza plan ya mwanzo inarudi na ndio hio desert mission yaani mission nchi kavu ya huku Tanganyika inayoendelea nadhani ilianza na uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema halfu No reform no election ambayo imetuharibia zaidi hadi nje ya nchi !!Acheni mzaa na mambo ya msingi, taifa bado linalia na utaratibu huu ambao umetufikisha hapa ,na bado wawepo watu wenye calculation za hivi, basi nao watakua vilaza wakubwa.
Reforms zifanyike watu wapatikane kwa haki bila kujali ni chama gani, Mengine hata yakitokea hutosikia kelele ili hali watu wale waliopo walipatikana kwa haki period.
Hii ya kila mtu tegemea kuokota Dodo juu ya mti ,au tembea kama fisi ukitegemea mkono dondoka , ni fikra za juu za kiwango cha upumbavu katika Taifa.
Mkakati wa watu makini kwanza kabisa ni kuhakikisha watu wanachaguliwa katika uchaguzi ulio huru na haki bila kujali chama, na hapa reforms kama sio marekebisho ya katiba nzima kwa haraka ni muhimu ,japo pia katiba mpya ni muhim.
Mengine ni ziada tu
Aisee ni jambo njema kwa usalama wa rasilimali za TanganyikaOriginal plan Ina and out, desert mission!
Chawa wanamjaza mwenyekiti Hali ya kujiamini Ili apambane na andiko ambalo tayari lilishaandikwa!!Roadmap kuhusu kesho ya Tanganyika ipo mezani. Kilichobakia kwa sasa ni takwa la wakati ili kupita katika "blue prints" zilizowekwa tayari kwa ajili ya utekelezaji.