Dark days 17/03/20

Ngoje tuone mwisho wake, Ila mh hay mbo yakitokea kwel nitabaki mdomo waz
Sasa wamekuja na Desert mission,original plan in and out! Operation pjlk!!

Sasa nadhani desert mission ndio hii ya NO REFORM NO ELECTION!na Sasa wamejichanganya kuwakamata kina Lisu na TEC wametia muhuri operation!!Sasa wakishupaza shingo ndio tuone sequence and series nadhani!

Nawaza!
 
Shehe yahya Alikuwa na Roho za utambuzi!.
Hata watu wa gizani uwezo wa kuona yajayo wanao

Nahisi hii ipo YouTube ngoja nisearch
 
anyechora plan ni genius "ukishika moto ukiachia moto
 
Labda ulikua bado mdogo, baada ya waraka wa TEC kuhusu bandari.
Serikali iliupitia upya ule mkataba kuna vipengele vya hovyo vilibadilishwa.
 
anyechora plan ni genius "ukishika moto ukiachia moto
Kuna mmoja yupo busy huko duniani ku convince mabeberu yeye bado ana influence na Africa nzima, haelewi kuwa the power hand is changed...Time is up, we claim our country back to the roots...
Ningekuwa Mimi ni wewe ningepiga vigelegele vya shangwe maana the dream we had for a looong time has come to pass; mafisadi yooote tutayafukia kuzimu; Tanzania njema is a must project apende au asipende mtu!
 
No reform no election in Tanzania!
 
Yalimkuta Padre Kitima, katibu wa baraza la maaskofu naona yanendelea kupita kwenye hizi mission.

"Labda mambo yakiharibika sana''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…