Dark days 17/03/20

Alisemaje mtabili?
Ilikua mwaka 2003 kama sijakosea ilikua channel ten, sheikh yahaya alisema "nchi itaongozwa na jakaya, baada ya jakaya atakuja rais mweusi mchapa kazi mkali sana lakini hatadumu katika uongozi na hapo ndipo nchi itapata rais mwanamke" sikumbuki vizuri kuhusu hapa ilikua baada ya au ni aje ila nchi itakuja kutawaliwa na upinzani.

Yote yametimia imebaki la upinzani, kuna watu wamejaaliwa kuona ya mbele. Japo miaka hiyo tulikua tunaona chai tu nchi itatawaliwaje na mwanamke kumbe kweli na sio chai.
 
Yule mzee alijaaliwa kipaji maalum
 
😂😂
 
Kwa hiyo ni yeye..?
 
Naileta hii hapa Tena ili kuondoa uchovu wa kusubiri 25122025.
 
Sidhani,nusu mkate mambo yakiwa magumu nusu mkate!!hawawezi kuachia vyote Kila kitu nope!watapewa hata uwaziri mkuu au umakam wa mchongo kama kule Zanzibar!!
Lissu sio mtu wa kulambishwa asali. Mshinde kihalali atakubali wala hataki maswala ya kuwekeana ujanja ujanja. Amenyooka sana. Uchaguzi wa haki na huria ashasema akishindwa wala hana tabu na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…