Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ishu sio kuhamia !ishu ni deep state wanataka nini hasa!!kama wanataka Dola iende huko inaenda!!

Si
Kwanza mkuu nimefurahi sana kukuona tena kwenye hili Jukwaa, uliopotea sana.

Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI wewe unaimani na DS ya Tz?

kusema mimi sina imani na DS kwani naona kana kwamba KJ anawazidi vitu vingi DS.
 
Mwaka wa nne sasa karibu tokea la kutokea litokee, kupitia uzi huu tulijifunza mengi sana na nje ya huu uzi kwenye uhalisia tumejifunza mengi pia.

Ngojea tuone siku ya kumbukizi nini kitajiri.
 
Conflict of interest in people's lives and national resources

Kilichomkuta yule mjomba na wenzake ni uzalendo uliotukuka na kuto kuogopa nyau akitishiwa kwasababu ni mtu mzima(higher patriotic maturity level)

"Wazuri hawafi" haya maneno yapige reverse na ndio uhalisia hata uki-refers scenario tofauti tofauti popote pale.

Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa yetu ndani ya muda fulani"

Baada ya muda uliowekwa kupita mnamuona yule mateka mtaani mzima wa afya na hana wasiwasi (anadunda tu)

Hii inamaana gani, je ndugu wa mateka walitekeleza matakwa ya watekaji? Ama;

Mateka alitoroka mafichoni? Ama,

Ndugu wa mateka walimkomboa ndugu yao kwa kukabiliana na mateka.? Ama

Watekaji walirainishwa kwa maneno wakaingia huruma wakamuachia mateka au,

Watekaji waligaili wakaamua kuachana na mpango wao.
Mwaka wa nne sasa karibu tokea la kutokea litokee, kupitia uzi huu tulijifunza mengi sana na nje ya huu uzi kwenye uhalisia tumejifunza mengi pia.

Ngojea tuone siku ya kumbukizi nini kitajiri.

Na kwa kilichotokea kule Congo(Rwanda Congo na USA) Hi kitaalamu tunaita game over.

Labda tusubili kama kuna comeback kwa sekunde zilizobakia to 90
 
Conflict of interest in people's lives and national resources

Kilichomkuta yule mjomba na wenzake ni uzalendo uliotukuka na kuto kuogopa nyau akitishiwa kwasababu ni mtu mzima(higher patriotic maturity level)

"Wazuri hawafi" haya maneno yapige reverse na ndio uhalisia hata uki-refers scenario tofauti tofauti popote pale.

Na kwa kilichotokea kule Congo(Rwanda Congo na USA) Hi kitaalamu tunaita game over.

Labda tusubili kama kuna comeback kwa sekunde zilizobakia to 90
Ukifuatilia huu uzi, Yoga alishasema lazima jirani yetu ashinde hivi vita kwanza, maana kushinda hii vita ni kumshinda yule adui yake ambaye Yoga anasema ndiye anayetafutwa... Interesting! Mie nasoma tu, though I have my own ways na imani binafsi kuwa Tanzania njema ni established fact (in a present continuous term), hakuna wakupindua meza ije mvua liwake jua, regardless of who is at play!
 
Ninadhani hii kampuni inapitia kipindi cha mapinduzi ya kimfumo, mapinduzi hayo yataifanya kampuni iwe na mapato imara na maradufu kama uongozi utakubaliana kukubaliana ila wasipo kubaliana kukubaliana inamaana kampuni itakuwa kwenye mgogoro mzito utakao dumu miongo kadhaa na kuifanya kampuni ipitie kipindi kibaya sana hasa katika uchumi na usalama.

Unaweza kuta general manager wa kampuni yetu amekua recruited na kitengo cha espionage cha kampuni ile yakimataifa, kama sio basi mambo yakituenda vibaya sana moja ya ishara itakua opposisheni ku take over kampuni mapema mwaka huu na hapo kampuni itakuwa na mfumo mpya wa uongozi sio tena self rilayansi na ujamaa.

Kampuni imesimamia misimamo kwasababu ya legacy ilionayo "mazoea yana tabu" at first watu wanakuaga wagumu kubadilika...

Kwa yalitokea na yanayoendelea katika kampuni ya drc hasa kumhusisha na kampuni ya kimataifa usa. Ni ishara tosha kua kampuni yetu imekalia kuti kavu (masrahi yetu na mabwana zetu kule yako rehani(tumechemka kwenye vita baridi wapinzani wameigia na masweta sisi tumeingia kifua wazi))

Labda stool ipenduke.
 
Back
Top Bottom