Mkuu usichelewe sana maana watu tushameza mkeka na bado tuna hamu ya kumalizia ukili.Yaani bora tusile Ila pesa ya Bando lazima iwepo,unakosaje mkeka wa Dark Days!!
Zindiko la mwenge wa uhuru lilipochezewa nyakati zile za hofu ya UVIKO 19, na kufungiwa ili uache kuangaza, likaondoka na kichwa cha mtu ili kufidia ile kafara kusudiwa ya kuzidi kuwapumbaza watu wa nchi ile.