Yap kuna jamaa kutoka india nlikuwa napiga nae story akawa anazungumzia foleni kwamba alichukua masaa ma3 kutoka posta hadi mbezi,nikamwambia yap siku za w/end kuna foleni sana akasema hata hvyo hakuna foleni dsm ukicompare na india tatizo la dsm hamna barabara tu sie kwetu(india) tuna barabara 4 kwenda 4 kurudi na foleni ya kufa mtu....Tatizo la kwetu barabara hatuna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.