Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

Ni kitu cha Ajabu mno kinachoshangaza ila ndio ukweli wenyewe ukichunguza utagundua huu ukweli.
Usiende kuchunguza mbali kaa humu humu ushangae mashabiki wote wa Diamond wanavyomponda Darassa bila aibu usoni.

mara utasikia jamaa hafanyi hip hop wala nini.
Hawa wanaosema hivi Wanasahau kuwa wakina Designer,Drake,Lil Wayne,Fetty Wap,Phyno na wengine Kibao muziki wao hauna tofauti yoyote na style anayofanya Darassa siku hizi Wanasahau kuwa dunia imebadilika na muziki pia umebadilika watu siku hizi hawaimbi kama alivyokuwa anaimba Tupac enzi zile.
Hata mkongwe Jay Mo alibadilika kwenye Pesa Madafu.
Wakina Nikki Mbishi wameshindwa kubadilika na wote tunaona wanavyoishia kuwaimba wenzao mara Neema wa Mitego mara Babu Talent.

Mara jamaa mchafu mchafu.
Kwenye Hip hop ya bongo hakuna msanii anaevaa vizuri akapendeza kama Darassa angalia nyimbo zake zote kuanzia Sikati Tamaa mpaka huu mpya.
mwembamba,mrefu ni mwili ambao unakubali kila nguo anayotinga.
Huwezi kumfananisha Darassa na wasanii wengi wa Hip hop bongo wanavyovaa.

Akitaka kutusua ajiunge wasafi
Huu unafiki wa kiwango cha kidunia.maana yao huwezi kufanikiwa nje ya wasafi wanataka kila msanii anaefanya vizuri basi awe upande wao otherwise watatafuta sababu ya kumshusha na kumtoa maana.

Kamponda Diamond ili apate kiki
Ujinga mwingine...Jina Simba alikuanzia kwa Diamond lipo miaka na miaka.Afande Sele alijiita simba,Mr.blue alijiita Simba na wote walijiita simba kabla ya Diamond na kuna simba sport club sasa kwanini hao wote hawakusema wamepondwa wao?!

Kabahatisha tu hatapotea kama wengine.
Ebooo huyu Darassa Anatoa Hit song yake ya kwanza Sikati Tamaa mwaka 2011 na kishafanya ngoma na Tunda man,Stamina,Roma,Mr.Blue,Barnaba boy,Ben pol.
Ndani ya mwaka mmoja katoa Hit songs 3 bila promo kubwa Kama Unanipenda,Too much na Muziki sio kitu cha chepesi kwa msanii wa Hip Hop.
kama akishuka basi muda wake umefika sio kwa sababu amebahatisha labda uwe ujawahi kumsikia Darassa kabla ya mwaka huu.

Ujumbe wetu kwao...Tusukumue mziki mbele na changamoto ndio mziki wenyewe wasichukie akija msanii alafu akafanya vizuri huu mziki sio wa Babu tale wala saidi Fella wala Sallam Sk kila mwenye kipaji na afanye tuone.
Asante.
 
MASHABIKI Gani? Tatizo lenu mnachukulia mawazo ya kwenye mitandao na mnaweka hitimisho.. Watu wachache wanawachanganya na mitaani watu wanafagilia kazi zote amini HiVyO
 
Unataka kukimbia na hauna break........aiseeee Darasa ananikonga moyo sana hayo mengine ya chuki siyajui
 
Hizo zilitoka kabla yake sana.

Hapo zilizofunikwa ni Kokoro na Dume Suruali.
 
haaaahaaaaahaaaa dah timu hizi.....maana kila sehem ninayo enda utaona darassa kamfunika salome wa diamond ila hawasemi kajiandae,wao ni diamond tu dah
 
MASHABIKI Gani? Tatizo lenu mnachukulia mawazo ya kwenye mitandao na mnaweka hitimisho.. Watu wachache wanawachanganya na mitaani watu wanafagilia kazi zote amini HiVyO
Sawa labda huko mitaani huku kwenye mitandao mashabiki wa Diamond wanatoa povu kweli kweli.
 
mmeona timu kiba imekosa nguvu sasa mnataka kutengeneza timu mpya....hakuna shabiki wa mond anaemchukia darasa...bali kiherehere chenu cha kumpambanisha na diamond ndo kunafamya mashabiki wa diamond wasimame upande wa dismond na kufanya ionekane wanamchukia darasa...ubongo wenu umejaaa konokono.....ngoja nivuke barabara,,ntakuja kuendelea
 
hakuna anchukia Darassa..
tatizo mnamshindanisha Darassa na Diamond unategemea team chibu wampende??!!! au wamshabikie???

Team Simba yoyote anaejifanya agaist simba ,hawawezi kumpenda hata siku moja!!!
kwani mkisema darrasa katoa hit song mtapasuka? lakini mpaka mumshindanishe na diamond! waTz mpoje
 
Analysis
 
Attachments

  • Screenshot_20161208-144133.png
    Screenshot_20161208-144133.png
    262 KB · Views: 37
Ni kitu cha Ajabu mno kinachoshangaza ila ndio ukweli wenyewe ukichunguza utagundua huu ukweli.
Usiende kuchunguza mbali kaa humu humu ushangae mashabiki wote wa Diamond wanavyomponda Darassa bila aibu usoni.

mara utasikia jamaa hafanyi hip hop wala nini.
Hawa wanaosema hivi Wanasahau kuwa wakina Designer,Drake,Lil Wayne,Fetty Wap,Phyno na wengine Kibao muziki wao hauna tofauti yoyote na style anayofanya Darassa siku hizi Wanasahau kuwa dunia imebadilika na muziki pia umebadilika watu siku hizi hawaimbi kama alivyokuwa anaimba Tupac enzi zile.
Hata mkongwe Jay Mo alibadilika kwenye Pesa Madafu.
Wakina Nikki Mbishi wameshindwa kubadilika na wote tunaona wanavyoishia kuwaimba wenzao mara Neema wa Mitego mara Babu Talent.

Mara jamaa mchafu mchafu.
Kwenye Hip hop ya bongo hakuna msanii anaevaa vizuri akapendeza kama Darassa angalia nyimbo zake zote kuanzia Sikati Tamaa mpaka huu mpya.
mwembamba,mrefu ni mwili ambao unakubali kila nguo anayotinga.
Huwezi kumfananisha Darassa na wasanii wengi wa Hip hop bongo wanavyovaa.

Akitaka kutusua ajiunge wasafi
Huu unafiki wa kiwango cha kidunia.maana yao huwezi kufanikiwa nje ya wasafi wanataka kila msanii anaefanya vizuri basi awe upande wao otherwise watatafuta sababu ya kumshusha na kumtoa maana.

Kamponda Diamond ili apate kiki
Ujinga mwingine...Jina Simba alikuanzia kwa Diamond lipo miaka na miaka.Afande Sele alijiita simba,Mr.blue alijiita Simba na wote walijiita simba kabla ya Diamond na kuna simba sport club sasa kwanini hao wote hawakusema wamepondwa wao?!

Kabahatisha tu hatapotea kama wengine.
Ebooo huyu Darassa Anatoa Hit song yake ya kwanza Sikati Tamaa mwaka 2011 na kishafanya ngoma na Tunda man,Stamina,Roma,Mr.Blue,Barnaba boy,Ben pol.
Ndani ya mwaka mmoja katoa Hit songs 3 bila promo kubwa Kama Unanipenda,Too much na Muziki sio kitu cha chepesi kwa msanii wa Hip Hop.
kama akishuka basi muda wake umefika sio kwa sababu amebahatisha labda uwe ujawahi kumsikia Darassa kabla ya mwaka huu.

Ujumbe wetu kwao...Tusukumue mziki mbele na changamoto ndio mziki wenyewe wasichukie akija msanii alafu akafanya vizuri huu mziki sio wa Babu tale wala saidi Fella wala Sallam Sk kila mwenye kipaji na afanye tuone.
Asante.
Hayo umeyasema ww ukweli mweupe ngoma zote zilizotoka miezi miwili iliyopita zimezidiwa na ghalika la wimbo wa darsa labda kokoro ndo naona bado inatapatap kujikwamua lkn hizi zingne zote zimejifia mbali na ghalika la MUZIKI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom