Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

Salaam wandugu, nimeona humu jukwaani watu wengi wamekuwa wakisema wimbo wa Darasa 'Muziki' umewafunga midomo Wasafi na kusababisha nyimbo zao kubuma mfano 'Kokoro', kwa mtazamo wangu mimi huo wimbo wa 'Kokoro' ni wa kawaida tu na hata isingekuwa wimbo wa Darasa usingekuwa hit kubwa, ni kama wimbo wa Dimpoz 'Kajiandae' nao ni wimbo wa kawaida sana na ningeshangaa kama ungehit. Wimbo pekee ambao naona umeathiriwa sana na kuvuma kwa Darasa ni 'Dume Suruali' wa MwanaFA. Huu wimbo kwa content ya mashairi na hali halisi ya kiuchumi nchini ulistahili sana kuwa HIT, ni vile tu imekuwa bahati mbaya kutoka pamoja na MUZIKI 'Homa ya Jiji', pole sana MwanaFA jitahidi sikunyingine ufanye timing nzuri
 
Marekani, Nigeria Na India Ni Moja Ya Nchi Zenye Internet Entrepreneur Wengi Sana - Wanapata Sana Pesa Kupitia YouTube Na Websites

- Yaani Mtu Ukiwa Na Video Yako Moja Ukaiweka Kwenye Channel Yako Na Ikaenda Viral Kama Ile Ya Mwalimu Aliyepiga Mwanafunzi Mbeya, Unakuwa Milionea Ndani Ya Muda Mfupi Sana

- Mfano Nuh Mziwanda Feat Alikiba Alipata Views Kibao Kupitia Jikeshupa, Lakini Sidhani Kama Alipata Chochote Cha Maana

- WCB Wasafi Ni Wajanja Ndo Maana Hata Wimbo Wa Dullysykes/Harmonize - Inde Uko Kwenye Monetised Akaunti Ya Harmonize Na Siyo Akaunti Ya DullySykes
Duuuh kumbe ...
 
Inawezekana vipi watoto,vijana,wazee,waume,wake kupenda wimbo mmoja tena hip hop?!

Kuna wimbo uliwahi ku hit namna hii hapa tz?
 
huko mikoani mnajua ht mziki wenyewe sasa...?!!!

Hiyo nyimbo ya darasa mnaisifia Na mnadiriki ita HipHop?Hiphop nyie wa dar mnaijua?au ndo mnasema Paka kuna hiphop singeli?dont underestimate people ,nguzo Na misingi ya HipHop hamjui Leo hii Mtu anatoa hitsong mnasema HipHop .
 
Ndugu zangu, Darasa sio yule tena wa 'sikati tamaa' Siku hizi yupo kikazi zaidi. Kila kukicha anazidi kuwa mkali.

Ngoma yake hii ya sasa inayoitwa 'MUZIKI' aliyomshirikisha Ben Pol ni kalii hatari. Kafunika ngoma ya Kokoro na Kajiandae.

Huku mitaani ni vurugu tupu, kila kona ninakopitaa ni ngoma ya Darasa inapigwa.


Ikiwezekana afanye remix ya huu wimbo siku zijazo. Ashirikishe wenzake wengi kama "mchizi wangu remix" na "pwaa remix"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom