Chuki iko wapi sasa niugagilie wimbo siupendi?haya kajitahidi.Dunia iweke tuzo za wachukiaji, bongo kuna watu wana vipaji
Weusi wamemshirikisha Bella wimbo unaitwa natamani nijue.Wakuu naomba kufaham jina la msanii aliyeimba wimbo wa "nitauza penzi langu "
Nilifikiri ameimba Christian Bella lakini sioni kama ni yeye ameimba, japo sauti zinalandana au huenda hiyo siyo tittle sahihi ya wimbo.
Msaada plz, REGARDS
[emoji23]chorus kaimba kama undergeound wa simiyu bhana
Binadamu angekua nature maneno yangeshutigi kama risasiHuyo darasa bure kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo darasa bure kabisa
Hapo kwenye nature sio danger?Binadamu angekua nature maneno yangeshutigi kama risasi
Nasikia natureHapo kwenye nature sio danger?
Nadhani ile hakuitoa ilivuja na kaamua kuibadili kiainaHii mbona inafanana kabisaaa na ngoma yake ya utanitoa roho?