Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 3,950
- 5,692
Tuma salamu kwa watu wawili.Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mwanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.
Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
Upo? Long time no seeUlevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mwanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.
Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
Mmhhh...nna wasiwasi na hii story
Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mwanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.
Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
mimi nipo sana sema wewe ndio adimu kweli.Upo? Long time no see
Kama ni kweli aache kabisa lasivyo atakuja kuingia kwenye utumiaji wa dawa zingine za kulevya (sembe) na huo ndio utakuwa mwisho wakeAnakunywa na kuvuta mineli hatari. Kuna show flani hapa morogoro club inaitwa downtown alifanya hovyo sana kwasababu ya hayo makitu
Ni wakati wa yeye kubadilika aachane na ulevi maana kwa level aliyopo sasa sitoshangaa yeye kuhamia kwenye madawa..Darasa Ndiyo ni mlevi show nying tu nimemshuhudia