Darasa Punguza ulevi

Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mnywanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.

Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
 
Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mwanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.

Tuma salamu kwa watu wawili.
 
Upo? Long time no see
 
1482478905269.jpg
Mkuu chukua hiyo ukanywe soda
 
Anakunywa na kuvuta mineli hatari. Kuna show flani hapa morogoro club inaitwa downtown alifanya hovyo sana kwasababu ya hayo makitu
Kama ni kweli aache kabisa lasivyo atakuja kuingia kwenye utumiaji wa dawa zingine za kulevya (sembe) na huo ndio utakuwa mwisho wake

Wako wapi kina TID, Ray C na KR Mura?

Shauri yake kwa kulewa sifa.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom