Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 3,950
- 5,692
Jna hapa Moshi kulikuwa na uzinduzi wa Club hapa town maeneo ya Kuringe, sasa cha kushangaza huyu bwana alilewa bwiii, kiasi kwamba hata shoo yenyewe haikuwa tam kivile. Sasa nakushauri punguza ulevi utakukwamisha.