DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,356 Reaction score 83,328 May 29, 2025 #1 Mm sio muumini wa makaratasi Ila darasa la saba hafai kuwa mbunge Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
Mm sio muumini wa makaratasi Ila darasa la saba hafai kuwa mbunge Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,561 Reaction score 22,876 May 29, 2025 #2 Inafikirisha, una elimu gani mkuu?
Mike Moe JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 422 Reaction score 489 May 29, 2025 #3 DR HAYA LAND said: Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?. Click to expand... Kina msukuma si wanachangia huko
DR HAYA LAND said: Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?. Click to expand... Kina msukuma si wanachangia huko
W welding1682 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2019 Posts 2,229 Reaction score 4,838 May 29, 2025 #4 Kwa muongozo wa chama kila kitu kinawezekana, ukweli mwili kusemwa!
Agustin kun Aguero JF-Expert Member Joined Mar 22, 2023 Posts 677 Reaction score 828 May 29, 2025 #5 Kuna wabunge mule wanavyoongea unajiuliza hivi hawa vichwa vyao wanatumia kufikiria au kama fuko la kutunzia kamasi?
Kuna wabunge mule wanavyoongea unajiuliza hivi hawa vichwa vyao wanatumia kufikiria au kama fuko la kutunzia kamasi?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,356 Reaction score 83,328 May 29, 2025 Thread starter #6 Mike Moe said: Kina msukuma si wanachangia huko Click to expand... Sawa Ila sio kwa kutumia fikra tunduizi.
Mike Moe said: Kina msukuma si wanachangia huko Click to expand... Sawa Ila sio kwa kutumia fikra tunduizi.
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,560 Reaction score 3,111 May 29, 2025 #7 Inasikitisha sana.
Malaika wa Misukosuko JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 2,878 Reaction score 8,652 May 29, 2025 #8 Mike Moe said: Kina msukuma si wanachangia huko Click to expand... Yule huwa sana sana anaongea Madhara ya tatizo ila kuhus chanzo cha tatizo huwa hagusi huko, na kwenye Utatuzi wa tatizo ndo kabisa huwa haeleweki.
Mike Moe said: Kina msukuma si wanachangia huko Click to expand... Yule huwa sana sana anaongea Madhara ya tatizo ila kuhus chanzo cha tatizo huwa hagusi huko, na kwenye Utatuzi wa tatizo ndo kabisa huwa haeleweki.
enzo1988 JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 2,577 Reaction score 9,873 May 29, 2025 #9 DR HAYA LAND said: Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?. Click to expand... Bungeni kuna Degree, Masters na PHD za kutosha, vipi umeona kuna tofauti yoyote?? Au yale majivuno kuhusu elimu ndiyo tunayahitaji??
DR HAYA LAND said: Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?. Click to expand... Bungeni kuna Degree, Masters na PHD za kutosha, vipi umeona kuna tofauti yoyote?? Au yale majivuno kuhusu elimu ndiyo tunayahitaji??