Darasa la mahusiano jinsi ya kuwakamata wadanganyifu katika mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Darasa la mahusiano jinsi ya kuwakamata wadanganyifu katika mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmzalendo, Mar 8, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna darasa la mapenzi jamani linaanza leo
  lichachukua siku kumi ni kila siku saa 0100 GMT+0 AU UK
  HOURS
  NI JINSI YA KUMKAMATA MPENZI WAKO ANAYEKUDANGANYA
  AU NJIA ZA KUJUA KAMA ANATAKA KUKUDANGANYA

  PIA HAPA KILA HUO MUDA www.lifeofmshaba.com
  nenda tafuta love and passion class ni kuanzia leo
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi sidanganywi.... ndio tatizo lakini inshallah class ntahudhuria... tanx...
   
 3. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  karibu sana uchangie na mada
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nani mie mzalendo?
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  na ukisha mkamata then what next,......hapa nahisi ndoa,uchumba,wapenzi kibao wataachana
   
 6. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Well said my dear, mimi sitaki hata kujifunza kumkamata, nitakamata wangapi? bora tu nisiendelee kujua. igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 7. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hhahahahahah ukimkamata unaweza kujifunza nini chanzo
  na tabia kukoma mbona tunakua waoga
   
 8. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haswa wewe nni ongelea
   
 9. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 10. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,659
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe sitaki kumkamata kabisa aendelee kufanya siri hivyo hivyo...
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sorry but it won't work for everyone!Na njia zote mtakazoweka wazi zinaweza kupingika kirahisi!Istoshe wale wasiojiamini na kila siku wana hisia zinazowaelekeza kubaya kuhusu wapenzi wao hata kama hamna kibaya kinachoendelea wataishia kuvuruga ndoa na mahusiano yao kwasababu wameambiwa wafuate intuition!
   
 12. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nikishamkamata utanitafutia?
   
 13. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lol waoga mekuwa wengi lakini darasa bado linaendela wenge ujasili wanakula hekima
   
 14. r

  rhylove Member

  #14
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika haya yote yana ukweli ndani yake lakini kiboko yao ni mimi.
   
 15. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hii safi nilikuwa natafuta muda mrefu
   
 16. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kweli mkuu bia ujuzi unaweza kuliwa
   
 17. R

  Ronnie New Member

  #17
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hiyo
   
 18. m

  mwibara Member

  #18
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je darasa linaendelea?
   
 19. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wee zama kwenye link
   
 20. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Pole naona umepata darasa hadi unalia, umegundua siri ya kudanganywa nini?
   
Loading...