mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes inatarajiwa kuanza tarehe 25/07/2016 Hapa dar Es Salaam City Center.Hii ni kwa wale wanaojiandaa kwa ajili ya mtihani wa mwezi wa September ama December 2016.
Fee ni 700,000/= na darasa linaanza saa 11:00 Jioni hadi saa - 2:00 usiku, Jumatatu hadi Ijumaa, kwa muda wa week tano.
Hii Fee inajumuisha manuals, database na material mengine kwa ajili ya kumsaidia mtu kusoma na kufaulu mtihani wa CISA..
Tunawakaribisha wote.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0713 451713 ama
Email: mujinja@hotmail.com, true_ink_associates@hotmail.com