Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

Darasa: Chakula cha akili (Mental food)

[QUOTE="Haber Faraday,
Vipi masomo haya tukiyaandalia mfumo mwingine rafiki kwa wanafunzi kama vile PP? Wabongo wengi wanapenda kuangalia maandishi yalochanganywa na picha. Niko tayari kufanya kazi hiyo ili kuwafikia walio wengi.


Bila shaka umekwishakuiona namba ya mwalimu tumia hiyo kuwasiliana nae kwa ajili ya hayo mapendekezo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Chapisho la UTOFAUTI KATI YA ELIMU YA "KUFAHAMU" NA ELIMU YA "KUTUMIKA" umesha litoa?
 
Bila shaka umekwishakuiona namba ya mwalimu tumia hiyo kuwasiliana nae kwa ajili ya hayo mapendekezo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante, tayari nimesajili NGO kwa ajili ya kutoa elimu kombozi, elimu ambayo haifundishwi kwenye mitaala ya elimu rasmi kwa Tanzania. NGO inaitwa Mwasenda Development Intervention, ofisi yetu iko jijini Mwanza, Nyasaka Centre, kwa wale wanaotaka kupata mafunzo hayo wanakaribishwa.
 
Somo hili limenikumbusha gazeti la jitambue. Mwalimu ubarikiwe sana. Mungu akupe maisha MAREFU.
 
KWA WALIOKO MWANZA, MAFUNZO HAYA YATAENDESHWA YATATOLEWA KWENYE SEMINA ITAKAYOENDESHWA KITUO CHA MWASENDA DEVELOPMENT INTERVENTION - NYASAKA CENTRE.
WOTE MNAKARIBISHWA.

C:\Users\MDI\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg
 
Back
Top Bottom