Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,336
- 17,555
Kama wanaifumua reli yote (1800km) na kubadilisha mataruma yote na kuongeza upana wa reli kutoka 1067mm mpaka 1435mm, sawa. Ila sidhani kama litakuwa ni jambo la busara.Nimewahi kumsikia mbunge wa Mbeya Mjini akisema kwa namna ilivyo, ile reli ya TAZARA ni standard gauge pia.
Vipo vigezo vya reli ambavyo vikitimia inakua ni SGR...