Daraja reli ya TAZARA lasombwa na maji, mawasiliano kati ya Makambako na Mbeya yakatika

Nimewahi kumsikia mbunge wa Mbeya Mjini akisema kwa namna ilivyo, ile reli ya TAZARA ni standard gauge pia.
Vipo vigezo vya reli ambavyo vikitimia inakua ni SGR...
Kama wanaifumua reli yote (1800km) na kubadilisha mataruma yote na kuongeza upana wa reli kutoka 1067mm mpaka 1435mm, sawa. Ila sidhani kama litakuwa ni jambo la busara.
 
Huyu waziri alizidi sana kusifia kila kitu kipindi ndege za Atcl zinakuja........Tukumbuke kuna kipindi cha furaha na kipindi cha huzuni,Unafiki kwa wana ccm wengi ni mbaya sana
 
Naanza kupata mashaka na uwezo wa mturuki,

Kule stigilas goji,tunaziba mto na kuuelekeza utoe maji Kwa kiasi tunachotaka, halafu yeye vijidaraja tu vinamshinda??
 
Chini ya ccm mapigo yapo kwenye foreni

In God we Trust

Nimejaribu kulitafuta hilo neno sijalipata, la karibu kabisa linalofanana nalo ni "foreign', sifahamu ulimaanisha nini kwa neno "foreni"? Ambalo halipo kwenye kamusi zote. Ni lugha gani hiyo?
 
Kamuulize chakubanga

Back
Top Bottom