Daraja maarufu Tanzania

Linaitwa daraja la kirumi, liko mto mara kama unatoka Musoma kwenda Tarime, au unatoka Mwanza kwenda Tarime lazima utapita kwenye daraja hili.

Nililipenda kwa style lilivyojengwa alafu kama uko pale gari kubwa likipita unahisi kama daraja linanesanesa kama unavyohisi kitu chenye spring kinanesa au kama kitanda cha chuma kama ulishakilalia( watoto wa kitanzania tu, wale mambo safi hawajawahi)
 
Ni kweli liko Mara hilo, nilipita huko last year. Ni zuri kwa kweli linavutia. ila kuhna mabasi yana kimbia sijapata ona aisee, na hakuna traffic wala nini.....
 
Mmmmmmbbbbbrrrrraaaaaaaakkkeeeee....

Wapi Excel
 
Last edited by a moderator:
unawekaje kona hvo kwenye hilo daraja?? wajenzi hao kweli warumi
 
ukiwa unatokea tatime kuna mlima mkali kabla ya kufika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…