Daraja la Wami litakavyokuwa baada ya kukamilika

Daraja la Wami litakavyokuwa baada ya kukamilika

Kwani lililopo lina tatizo gani? Mimi nafikiri kuna vitu vya muhimu kwa sasa kama ajira , vifaa tiba n.k kuliko hilo daraja kwa sasa.(I stand to be corrected)

LA SASA IVI SIO KWA WEMBAMBA ULE, PIA NJIA HIYO INA MAGARI SANA, PALE MILIMANI KUKUTA MALORI MAKUBWA KUPAKI PEMBENI YA BARABARA NI KAWAIDA SANA
 
Ila bila kutanua na ile barabara matikeo hayatakuwa chanya sana kwani tatitizo halikuwa daraja pekee yake, mara nyingi gari zilikuwa zinafail break wakati wa kupanda au kushuka hasa malori bora pia waipanue ili malori yaoite upande wake pia kujenga kingo za barabara.
 
Kwani lililopo lina tatizo gani? Mimi nafikiri kuna vitu vya muhimu kwa sasa kama ajira , vifaa tiba n.k kuliko hilo daraja kwa sasa.(I stand to be corrected)
Mkuu mara ya mwisho umepita hyo njia lini? Daraja lina miaka ya kutosha na si salama tena kwa watumiaji
 
Lina unganisha Dar na Machame au mkoa wa Pwani na mkoa wa Tanga?
 
Ungekuwa una akili ungejua kwanini linajengwa lingine....

Bado sisi watu wa Mtwara tunataka swala la zao la korosho litafutiwe uvumbuzi kabla ya msimu wa korosho hujafika
Yule kauliza swali hajui Hilo daraja lilivyo labda hajawahi pita huko, Cha msingi ilitakiwa kukuelewesha tatizo lililopo kwenye Hilo daraja badala ya kumkejel , hapa ndio wengi tunakosea tunaendeshwa Sana na mihemko pasipo uhalisia
 
Aisee!!! Sisi Watanzania ni wavivu sijawahi kuona, utakuta jitu lina miliki smartphone halafu linauliza swali la kindezi, utadhani hizi taarifa hazipo kwenye mitandao...

2016..

2015..
hilo ni sehemu rasmi ya magamba kufanyia kafara zao daraja lina miaka zaidi ya hamsini.lilijengwa na wakoloni mpaka Leo hii kwanini wasijenge lingine kubwa?? magufuli yupo wizara ya ujenzi miaka mingapi?? ajali ngapi zimetokea pale wami na kupoteza maisha za watu?? hawalioni?au mpaka siku Rizimoko atumbukie huko nae ndio aletwe mchina kujenga lingine??!
 
Ile sehemu hatari gari ikizama pale mauti
Kwani lililopo lina tatizo gani? Mimi nafikiri kuna vitu vya muhimu kwa sasa kama ajira , vifaa tiba n.k kuliko hilo daraja kwa sasa.(I stand to be corrected)
 
Aisee!!! Sisi Watanzania ni wavivu sijawahi kuona, utakuta jitu lina miliki smartphone halafu linauliza swali la kindezi, utadhani hizi taarifa hazipo kwenye mitandao...

2016..

2015..
Mkuu kwa hiyo ww unajua Kila kitu kilichopo kwenye nchi hii kisa unamiliki smartphone ?
 
[emoji23][emoji23]eti "This subject is closed"[emoji23]
Hata wewe mwandishi wa habari uliyebebea unaanza kutumia kauli za kikandamizaji na kuzuia uhuru wa mahadiliano?...... We are really on the right track. [emoji22]
Kiukweli huyu jamaa anachapa kazi, halafu atokee mtu aseme hatuna kilichofanyika au hakuna kinachofanyika, huyo mtu atakuwa sio mkweli kutoka ndani ya nafsi yake,

Haya ndio maendeleo, sasa being ni maendeleo ya kweli au maendeleo ya vitu this a subject of debate.

P
 
Hao wanaojengewa wanajengewa na nani? Ni nani huyo mwenye roho nzuri hivyo anawasaidia hao watu wa Machame!? Inaonekana huyo mtu ana hela sana, mpaka ameamua kutoa hela yake? Hebu tutajie ni nani huyo mwenye roho nzuri hivyo?
Kodi!
 
[emoji23][emoji23]eti "This subject is closed"[emoji23]
Hata wewe mwandishi wa habari uliyebebea unaanza kutumia kauli za kikandamizaji na kuzuia uhuru wa mahadiliano?...... We are really on the right track. [emoji22]
Hizi lugha za watu ni tatizo, ni shidah!. Subject to debate ndio subject closed!.
P
 
Samahani mkuu, leo umepata haja kubwa?
Nimeshindwa kujizuia kucheka utadhani ni mazuri, sasa hili ni swali gani kumuuliza mwenzio?!. Maswali mengine jiulize tuu kimoyo moyo na ujijibu usiulize kwa sauti kwa public hivi!.

P
 
Kama hauoni tatizo basi una tatizo, unajua hilo daraja lilijengwa lini? Unajua trafiki ya hiyo njia hapo darajani? Kwanza ushawahi kulitumia linaunganisha Tanga na kwetu KLM hata Bungeni juzi kati tumeliongelea lijengwe.

Kutoona tatizo lako basi ujue hilo ndilo tatizo lako. Nadhani huyo jamaa si msafiri kabisa!
 
Back
Top Bottom