Daraja la Wami litakavyokuwa baada ya kukamilika

Daraja la Wami litakavyokuwa baada ya kukamilika

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Daraja la kuunganisha Dar na kwetu Machame tunajengewa pia, hii siyo Chato, ukitoka home Kimara tu unaitafuta Chalinze mbele kidogo unalikuta linatufikisha nyumbani Marangu, ...
1566457787369.jpeg
 
Kwani lililopo lina tatizo gani? Mimi nafikiri kuna vitu vya muhimu kwa sasa kama ajira , vifaa tiba n.k kuliko hilo daraja kwa sasa.(I stand to be corrected)

Kama hauoni tatizo basi una tatizo, unajua hilo daraja lilijengwa lini? Unajua trafiki ya hiyo njia hapo darajani? Kwanza ushawahi kulitumia linaunganisha Tanga na kwetu KLM hata Bungeni juzi kati tumeliongelea lijengwe.
 
Daraja la kuunganisha Dar na kwetu Machame tunajengewa pia, hii siyo Chato, ukitoka home Kimara tu unaitafuta Chalinze mbele kidogo unalikuta linatufikisha nyumbani Marangu, ...
View attachment 1187305

Hao wanaojengewa wanajengewa na nani? Ni nani huyo mwenye roho nzuri hivyo anawasaidia hao watu wa Machame!? Inaonekana huyo mtu ana hela sana, mpaka ameamua kutoa hela yake? Hebu tutajie ni nani huyo mwenye roho nzuri hivyo?
 
Hata mimi sijui labda ungewauliza wanaolalamika chochote kikijengwa Chato na Kanda ya Ziwa!
 
Mkisha anza ku i dis vibaya Kilimanjaro huwa nachafukwa sana nafsi sijui kwanini?!!!
 
Hata mimi sijui labda ungewauliza wanaolalamika chochote kikijengwa Chato na Kanda ya Ziwa!

Walipokuwa wanalalamika walikuwa wanamlalamikia nani? Kwahiyo hapo wami ndio marangu au maana sielewi!
 
Barbarosa;
Nilishapita hilo daraja mara nyingi tu( huenda kuliko wewe) sijaona kama ni tatizo kubwa kulinganisha na hayo niliyoyataja. Pia ulivyowasilisha mada yako nadiriki kukuita wewe ni mpumbavu kwa sababu unapalilia ubaguzi wa kikanda. Nchi hii haijawahi kugawanywa kwa mfumo huo wa kikanda na ukabila na hata wewe sio mwenyeji wa mkoa uliopo[/QUOTE]
 
Walipokuwa wanalalamika walikuwa wanamlalamikia nani? Kwahiyo hapo wami ndio marangu au maana sielewi!

Hapana siyo Marangu, ila linatufikisha Marangu.
 
Kwani lililopo lina tatizo gani? Mimi nafikiri kuna vitu vya muhimu kwa sasa kama ajira , vifaa tiba n.k kuliko hilo daraja kwa sasa.(I stand to be corrected)
Maendeleo ya vitu
Materialist Optionists
 
Kiukweli huyu jamaa anachapa kazi, halafu atokee mtu aseme hatuna kilichofanyika au hakuna kinachofanyika, huyo mtu atakuwa sio mkweli kutoka ndani ya nafsi yake,

Haya ndio maendeleo, sasa being ni maendeleo ya kweli au maendeleo ya vitu this a subject of debate.

P
 
Barbarosa;
Nilishapita hilo daraja mara nyingi tu( huenda kuliko wewe) sijaona kama ni tatizo kubwa kulinganisha na hayo niliyoyataja. Pia ulivyowasilisha mada yako nadiriki kukuita wewe ni mpumbavu kwa sababu unapalilia ubaguzi wa kikanda. Nchi hii haijawahi kugawanywa kwa mfumo huo wa kikanda na ukabila na hata wewe sio mwenyeji wa mkoa uliopo
[/QUOTE]

Kama hauoni tatizo na hilo daraja lililopo haimaanishi kwamba halina tatizo, hilo jipya magari yanapishana hili la sasa hivi hayapishani itspunguza foleni, pili limeshazeeka muda wake umepita ukichukulia malori mazito hupita hapo likiharibikia hapo foleni inakaribia Chalinze, kuna siku karibia nikose xmas home Marangu shauri lori liliziba sitosahau, hivyo naunga mkono lijengwe, isitoshe tutapiga selfie hapo pia tuweke facebook!
 
Back
Top Bottom