Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,396
- 5,384
KAMA WALIKUWA WANAONGOZANA SAWA. LAKINI AJALI IMETOKEA MUDA NA WATU kutolewa, MABASI HUWA HAYASIMAMI Labda uwe na gari ndogo uamue kusimama mwenyeweNayajua mimi ni mamba wa pale,kwa hiyo basi halijasimama?wamepita tu na lorry limedumbukia?huo sio utamaduni wa mtanzania kuipita ajali hivyo!