Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,396
- 5,384
KAMA YUPO NDANI YA BASI atapataje picha, mazingira ya pale unayajua?picha au tukuweke kundi la wanafiq
KAMA YUPO NDANI YA BASI atapataje picha, mazingira ya pale unayajua?picha au tukuweke kundi la wanafiq
Inaikitisha sana...
Most of us we act after disaster happens, but we don't create ways of preventing disaster from happening...
Madhara yakishatokea ndiyo utaona sasa matamko kibao, ushauri na mambo mengi... kabla ya hapo kila mtu kimyaa...
cc: mahondaw
Acha ubishi mkuu. Ishu ni kweli kabisa... jamaa na utingo wake wamepoteza maisha usiku wa jana pale. Nilipita pale usiku ule. Inauma sana jamaa alivyokuwa analalamika!
Sasa mbona hamna mwenye gari ama dereva yoyote aliyelalama kuhusiana na hilo daraja. Ninachojua hilo daraja ni narrow na hairuhusiwi kupiahana. Lakini pia kuna project inakuja ya kujenga daraja jipya hapo. Madereva wanalijua na wapo makini na ikitokea ajali ni bahati mbaya tu hilo daraja ni la miaka mingi labda huyo ndio kapita leoKAMA YUPO NDANI YA BASI atapataje picha, mazingira ya pale unayajua?
Napita kila wik mkuuSasa mbona hamna mwenye gari ama dereva yoyote aliyelalama kuhusiana na hilo daraja. Ninachojua hilo daraja ni narrow na hairuhusiwi kupiahana. Lakini pia kuna project inakuja ya kujenga daraja jipya hapo. Madereva wanalijua na wapo makini na ikitokea ajali ni bahati mbaya tu hilo daraja ni la miaka mingi labda huyo ndio kapita leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo unamaanishaSasa mbona hamna mwenye gari ama dereva yoyote aliyelalama kuhusiana na hilo daraja. Ninachojua hilo daraja ni narrow na hairuhusiwi kupiahana. Lakini pia kuna project inakuja ya kujenga daraja jipya hapo. Madereva wanalijua na wapo makini na ikitokea ajali ni bahati mbaya tu hilo daraja ni la miaka mingi labda huyo ndio kapita leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakat ww unatumia mkokotenHalitakuja kujengwa leo wala kesho...
Halafu member wa jf wanatumia usafiri wa anga...
Kabisa mkuu yan ukifkaAisee lile daraja ukipita lazima umkumbuke muumba siku za ujana wako hata kama huwa husali utasali
Sent using Jamii Forums mobile app
Tragedy in waitingKati ya eneo nisilolipenda kulitumia ni wami sijui wahusika wanalitazama vipi hili daraja
Kiukweli ni eneo hatarishi sana.
Ukanda wa kaskazini... Arusha, Moshi nafikiri na Tanga Au unaweza kupitia kutoka Dar ukapitia Morogoro, Dodoma ila n mbali sanaHilo daraja lipo barabara ya kuelekea wapi?
Inaonekana hujawahi pita daraja la mto wami, matatizo ya kutetea vitu ambavyo huvijuipicha au tukuweke kundi la wanafiq
Huna akili wewe,kama ukipita daraja la wami ndio kunadumbukia Lorry mtoni safiri tena.wewe unapitaga hapo je umewahi kuona Lorry limedumbukia?Haya basi mm sijasafiri ngoja nkuambie kitu,mkeo ni demu wangu haya amini nenda kamuache!Inaonekana hujawahi pita daraja la mto wami, matatizo ya kutetea vitu ambavyo huvijui
Nayajua mimi ni mamba wa pale,kwa hiyo basi halijasimama?wamepita tu na lorry limedumbukia?huo sio utamaduni wa mtanzania kuipita ajali hivyo!KAMA YUPO NDANI YA BASI atapataje picha, mazingira ya pale unayajua?