kwenzi
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 669
- 667
- Thread starter
- #21
Lingekuwa pana kwanza afu tuone mkuu ila kwa sasa hapana ni hatar tu Mungu anatulindaSasa kama lori lenyewe limefeli breki unadhani upana wa daraja utasaidia?!
Sent using Jamii Forums mobile app