Daraja la Mzinga lakatika


Daraja la Jangwan,mkandaras yupo sight,,,,,,,very nice,,,,,
 
Inawezekana chuki zinafanya watu wawe wajinga... mafuriko ni natural disaster.. mahala popote duniani mafiriko huleta athari kwa miundombinu... haihusiani na ujenzi chini ya viwango

mkuu miundombinu mibovu haya ndiyo matokeo yake sidhani kama kuna jambo la kupinga hapo!

Hizi ni mvua za kawaida tu zimenyesha, kama zikija storms itakuwaje!!
 
Ya jero kumbe? Basi ikifika ya buku jero Dar yote ishakuwa bahari

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Yaani leo mke wangu kapata shida sana tangia mchana alikuwa anakuja nyumbani alikwama mlimani pale kongowe baada ya kupita anafika mzinga anaambiwa hamna njia daraja limebomoka hapo tayari saa 11 jioni anageuza gari kurudi mbagala anakutana na foleni ya mliman tena, kapita ikabidi aache gari mbagala sasa hivi ndo anaingia posta apande panton avuke npo ng'ambo namsubiria kigamboni, yaani leo tumepatikanika tuombeeni jamani!
 

Bwana awasaidie
 
kwel kabisa mkuu,nimelicheki hatar tup pale
 
Na la tabata pia limekatika,Yani ni msimu wa majanga kwa kwenda mbele
 
Liache likatike kwani wakati wanampa mkandarasi kazi wakati wanajua kazi ilikuwa itimie kwa muda husika na idumu kwa miaka hiyo waliyokubaliana wao hawakujua?
 

Poleni sana,pia ni advantage kwa wazee wa michepuko.
 
Wabunge 620 wa bunge la katiba X siku 90 X shs 300,000 kwa siku ni sawa na tshs billioni 16.8. Hizi ni sawa na barabara ya lami ya km ngapi?
 
Wabunge 620 wa bunge la katiba X siku 90 X shs 300,000 kwa siku ni sawa na tshs billioni 16.8. Hizi ni sawa na barabara ya lami ya km ngapi?

Hizo ni ni kama Km17 hivi, umbali wa Posta hadi Kongowe, Posta hadi Mzambarauni Goms, Posta hadi Kimara Mwisho, unaweza kujenga wastani wa Tsh 900m/-/km!
 

Duh
Poleni



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yavunjike yote tuu...Hata lilejipya la juu la Kigamboni...

Laana ya Mwenyezi Mungu ikupate wewe unaeomba maovu juu yako na wenzako.

Unajua ni nani atapita juu ya daraja kwa wakati huo? Anaweza kuwa mzazi wako ndipo utakapoona faida ya dua mbaya kwa wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…