Daraja la Mzinga lakatika

Daraja la Mzinga lakatika

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,365
Reaction score
27,760
Habari zenu wakuu,..

Ni daraja la Mzinga huko Mbagala Kongowe,.

Hili ni daraja la pili ukitoa lile la bunju nalo lililovunjika leo, pia daraja la Jangwani pia lipo hatarini kuvunjika kutokana hizi mvua zinavyozidi kunyesha,.

Serikali inabidi kufanya la ziada juu ya ujenzi wa miundo hii muhimu!!

Source: Clouds fm
 
eeh MUNGU inusuru dar es salaam na hizi mvua pamoja na tanzania yote kwa ujumla
 
Acha yavunjike tu
 
Attachments

  • 1397310616265.jpg
    1397310616265.jpg
    50.8 KB · Views: 1,957
eeh MUNGU inusuru dar es salaam na hizi mvua pamoja na tanzania yote kwa ujumla

Mungu awaepushie tamaa viongozi maana walitakiwa kujifunza kutoka kwenye majanga yaliyopita na kuchukua hatua za haraka kurekebisha miuondo mbinu mapema, lakini wao wametoa vipaumbele kwenye matibabu yao India na Marekani na kujilipa 300,000 kwa siku.
 
Acha yavunjike tu

Kauli ya kijinga

Watakaoteseka ni masikini, mafisadi sasa hivi Wana piga dili la emergency fund za procurement za ujenzi wa madaraja, wanasiasa Wana piga dili la allowances za kutembelea wahanga, waliotujengea madaraja hafifu wanajipanga kwa ajili ya tenda

This is bad news to poor people. Watakosa dawa, vitabu na mbolea kwa sababu pesa Si.eenda kwenye maafa

Wale wapuuzi Dodoma wataongezewa siku kujadili maafa na kutoa pole
 
Mungu awaepushie tamaa viongozi maana walitakiwa kujifunza kutoka kwenye majanga yaliyopita na kuchukua hatua za haraka kurekebisha miuondo mbinu mapema, lakini wao wametoa vipaumbele kwenye matibabu yao India na Marekani na kujilipa 300,000 kwa siku.
Amen...
 
true mkuu

Du!Mungu awaepushe wakazi wa dar na mafuriko haya. Nadhani yote haya ni kutokana na miundombinu mibovu iliyowekwa na utawala wa kifisadi wa CCM!
 
Kauli ya kijinga

Watakaoteseka ni masikini, mafisadi sasa giving Wana piga dili la emergency fund za procurement za ujenzi wa madaraja, wanasiasa Wana piga dili la allowances za kutembelea wahanga, waliotujengea madaraja hafifu wanajipanga kwa ajili ya tends

This is bad news to poor people. Watakosa sawa, vitabu na mbolea kwa sababu pesa Si.eenda kwenye maafa

Wale wapuuzi Dodoma wataongezewa siku kujadili maafa na kutoa pole

Haya,na,ujinga wangu lakini acha yavunjike tu
 
Yaani designer wa mvua ya leo katisha
mwenye zamu wa leo kaamuaaa mkuu ila hii ndy kwanza trella bado movie yenyewe bado alijanza.alafu movie lenyw la kihindi si unajua lilivyokua refu
 
Back
Top Bottom