Daraja la Mfugale ni majanga, foleni imefika hadi Sokota muda huu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,146
11,192
Hili daraja ndio limeongeza shida asubuhi hii foleni imefika hadi Sokota kule, najiuliza liliwekwa maalum kwa ajili ya wanaotoka airport ili wawahi mjini au ni kwa wote maana kipindi hamna hili daraja foleni ilikuwa inatembea lakini kwa sasa ni majanga zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa ajili ya waenda airport tu wanaotokea jijini au airport kwenda jijini.Ndio linawarahizishia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom