wasaalam wana jf.
Nimepita Mabatini naona kuna hekaheka za maandalizi ya kupamba uzinduzi wa ufunguzi wa daraja la juu.
sijajua ni kiongozi gani atazindua ila kiu yangu ni kutaka kujua kama mbunge wetu wenje naye kama atahudhuria kwasababu sijawahi kuona jitihada zozote alizofanya.
Nampongeza sana Mama Maria hewa kwa juhudi zake hata bungeni nilishudua mara mbili akiulizia hili daraja.
Siku nyingi nimetoka Mwanza hilo daraja ndiyo lile la mto kenge?Hongera kwa daraja maana mabatini pale ilikuwa hatari sana kuvuka hususan kwa watoto. Tunaishukuru serikali kwa kuona umuhimu wa kuweka daraja hilo(flyover). Kuhusu Wenje kuhidhuria au kutokuhudhuria hiyo sio ishu,yeye asubiri 2015 tumpige chini,kwani hana lolote zaidi ya kwenda bungeni kutafuta sifa za kijinga. Wenje hajafanya lolote na miaka inakatika,kama chadema inalitaka jimbo la Nyamagana wasimamishe mgombea mwingine kwakuwa wenje ameprove failure
Siku nyingi nimetoka Mwanza hilo daraja ndiyo lile la mto kenge?
wasaalam wana jf.
Nimepita Mabatini naona kuna hekaheka za maandalizi ya kupamba uzinduzi wa ufunguzi wa daraja la juu.
sijajua ni kiongozi gani atazindua ila kiu yangu ni kutaka kujua kama mbunge wetu wenje naye kama atahudhuria kwasababu sijawahi kuona jitihada zozote alizofanya.
Nampongeza sana Mama Maria hewa kwa juhudi zake hata bungeni nilishudua mara mbili akiulizia hili daraja.
Siku nyingi nimetoka Mwanza hilo daraja ndiyo lile la mto kenge?
Ni lile karibu na zile mashine za unga!
Limejaa vinyesi vya wale wanaokaa pale mabatini milimani bila vibali!
Na mmoja wa wakazi hao ni mchungwaji Eiyer! Mzee wa chabo!
Teh teh teh teh.
Yaani kama namuona kule juu mlimani kavaa kanga ya mama watoto,
kakaa juu ya jiwe anakunywa kangara tartiiiibu.
Eee teh teh teh teh teh!
Dr. kahatanNi lile karibu na zile mashine za unga!
Limejaa vinyesi vya wale wanaokaa pale mabatini milimani bila vibali!
Na mmoja wa wakazi hao ni mchungwaji Eiyer! Mzee wa chabo!
Teh teh teh teh.
Yaani kama namuona kule juu mlimani kavaa kanga ya mama watoto,
kakaa juu ya jiwe anakunywa kangara tartiiiibu.
Eee teh teh teh teh teh!
Dr. kahatan
Umenikumbusha mbali sana hayo maeneo nadhani palikuwa panaitwa kwa Manengero, teh teh teh.
Ustaadhi mliishi mwaka gani MZ.? hebu ikumbusheni ni barabara ya musoma? karibu na polisline?Teh teh teh
Shariff wangu naona unanipeleka mbali mno hapa!
Hilo jina nalikumbuka sana lkn utu uzima tena network zinapotea kidogo!
Lkn pale mabatini nakumbuka ile harufu ya mapumba! Na jamaa wa pale wachafu sana! Wamejenga juu ya mawe kama wale nyani wa Indonesia! Na wengi wao ni wajaluo na wakerewe!
Teh teh teh teh!
Ile barabara ilikuwa na vumbi sijapata kuona, zamani tulikuwa natoka Mwanza kwenda Nairobi barabara ilikuwa mbovu sana lami unaipatia Magu, teh teh teh.Ustaadhi mliishi mwaka gani MZ.? hebu ikumbusheni ni barabara ya musoma? karibu na polisline?
Sii uwekezaji huo !! ninamda mrefu huko!!Ile barabara ilikuwa na vumbi sijapata kuona, zamani tulikuwa natoka Mwanza kwenda Nairobi barabara ilikuwa mbovu sana lami unaipatia Magu, teh teh teh.
Vipi pale mlango moja bado wanauza mapuya na gongo na mataputapu.
Cc; kahtaan