if i remember well, pale waliweka limitSio madereva tu, tatizo wajenzi hawaweki mipaka ya UZITO wa magari yanayotakiwa kupita ktk madaraja au barabara zinapokamilika!
..dreva anatakiwa kupewa adhabu kali...,
cc: John P. Magufuli
Hivi hakuna hata tamko lililotolewa na mamlaka yoyote juu ya hili? Hukawii kuambiwa dereva alitoroka!!😡sio dereva tu hata mwenye kumiliki hilo gari anapaswa kuchangia gharama za ujenzi upya...
hahahahahaha,kwa sasa huachii ngazi ng'o
Duhh,
Nimeona Taarifa ITV,
Daraja limetiwa alama ya uzito mwisho wa 7 tones,jamaa akalamba mzigo wa tani 40,kweli dereva killer.
Magufuli alivyo lazima atataifisha hilo gari.
Kuna kibao kinaonesha maximum tonnage kule mwanzoni kabisa atakuwa alikipuuza
Huyu tungekuwa na sheria kali kitanzi kilikuwa halali yake!! Hizi sheria hazifuatwi kabisa, utakuta hata huku kwetu vijijini barabara zimeandikwa Max. Weight 10T lakini cha ajabu malori yenye tani zaidi ya hizo yanapita tu!! Sasa hii hasara nani atalipa jamani?..dreva anatakiwa kupewa adhabu kali...,
cc: John P. Magufuli
Hii barabara in vibao sehemu nyingi ikionyesha ukomo wa uzito wa gari inayotakiwa kupita. Huyu jamaa naona alikwisha zoea kuchepuka. Magufuli tuone unafuatilia sheria bila upendeleo hapa, sio kwenye kuvunja vibanda tu vya wazee wetu waliojenga miaka hiyo pembeni ya barabara.
Kosa kubwa na linalotugharimu ni kuaminishwa kuwa elimu ni nyenzo ya kutafutia kazi na kwa wengi haihusiani kabisa na kupambana na changamoto za kuishi. Madereva wengi kama victims wa hili nao wamebakia kuendesha magari bila kufuata sheria alafu ikitokea ajali utasikia "ni mapenzi ya Mungu", "ajali haina kinga", yaani kwa kifupi tunaangamia kwa ukosefu wa maarifa!haya madaraja ya limits lakini madereva wetu shida sana, mwenye lorry anatakiwa afidie hasara kwa kweli