Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 757
Ndio lililo saidia hilo kubwa kujengwa,vifaa vya ujenzi na mitambo ilikuwa inatumia daraja hilo la muda.Hiyo daraja mtoto kwa chini kabisa kando ya hilo kubwa ilijengwa kwa dhumuni gani