Oh My God! Siwezi hata kufikiri kwamba kuna kiumbe anaye weza kuja na hoja kama hii. It's a total embassment. I thought hii forum ni ya Great Thinkers. What a waste of time![QUTE="Barbarosa, post: 15181397, member: 284899"]Mabilioni yaliyowekezwa kwenye Ujenzi wa hili Daraja ni kama yamepotea bure kwa maana halihitajiki, halina umuhimu mkubwa kiasi hicho kwa maana ya kwamba halitasaidia kuboresha maisha ya wakazi wa Dar kwa walio wengi ukilinganisha na gharama ya Ujenzi wake hii ni prestige project ambayo kwa nchi masikini na yenye kila aina ya shida inayojulikana na binadamu hapa Duniani hatukupaswa kulijenga badala yake hizi fedha zingewekezwa kwenye miradi mikubwa kama DART kwa mfano hii fedha ingetosha kujenga DART nyungine ktk Mwenge mpaka Kivukoni hivyo kuwa na DART mbili ambazo zingesadia sana wakazi wa Dar, klk hili Daraja!
Itatuchukuwa muda sana sisi Watz kuja kuendelea, mpaka tuje tuweke vipaumbele vyetu sawa tuna safari ndefu sana, mradi mwingine ambao nasikia uko mbioni na namwomba Raisi Magufuli auzuie huu mradi kama ule wa bandari ya Bagamoyo ni wa kujenga daraja baharini ktk daraja la Salenda kuunganisa na Coco Beach, hili daraja hatulihitaji badala yake hizi fedha ziende kujenga DART nyingine labda ya Br. ya Mandela- Buguruni -Kariakoo!
Oh My God! Siwezi hata kufikiri kwamba kuna kiumbe anaye weza kuja na hoja kama hii. It's a total embassment. I thought hii forum ni ya Great Thinkers. What a waste of time!
Think about congestion ya traffic in the inner city. Think about mafuta yanayo potea bure kwenye hizo foleni, think about kuboresha sehemu zingine za jiji, think about maendeleo ya satellite cities, etc. Halafu eti unasemaje???
Oh My God! Siwezi hata kufikiri kwamba kuna kiumbe anaye weza kuja na hoja kama hii. It's a total embassment. I thought hii forum ni ya Great Thinkers. What a waste of time!
Think about congestion ya traffic in the inner city. Think about mafuta yanayo potea bure kwenye hizo foleni, think about kuboresha sehemu zingine za jiji, think about maendeleo ya satellite cities, etc. Halafu eti unasemaje???
Hivi Watanzania tuna matatizo gani wajameni ?hivi mtu Kama huyu tumuweke fungu gani?[/QUOTE]Mimi siyo Great thinker na wala sijawahi na sitowahi kujitambulisha hivyo ila kama wewe unaona unastahili kuitwa hivyo hiyo ni juu yako!
Haya niambie hili daraja litapunguza msongamano wa kiasi gani kwenye huu Mji? Ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar watalitumia kila siku kwenda na kurudi kazini ikilinganishwa na gharama iliyotumiwa kulijenga?
gharama inayotumika kujenga DART ilitosha kabisa kuweka mfumo wa METRO kwa sababu METRO nyingi duniani nchi zilizoendelea hazihitaji kuwavunjia watu majumba yao wala kulipa watu,zinapita juu ya barabara zetu tu ,hakuna njia rahisi ya usafiri kama TRAIN metro hizi nyingine zote porojo tu
Duh! Hata kama ni upinzani basi wa kwako umepindukia. Kwanza utambue kuwa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni kwa kiasi kikubwa unatekelezwa na NSSF. Kwa maana hiyo ni kwamba ni mradi wa Taasisi Binafsi kwa kushirikiana na Serikali kupitia PPP. Ujenzi wa daraja hilo ni kama Ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Ubungo hadi Chalinze. Huwezi kumpangia mtu mradi ambao anataka kuwekeza.
By the way, wanaojua umuhimu wa daraja la Kigamboni ni wakazi wa Kigamboni. Wewe Mburula ambaye upo hapo Arusha Mjini utajuaje adha ya usafiri wanayokumbana nao wakazi wa Kigamboni?
Dah! Hakika wewe unazidi kuonesha upuuzi wako. Labda nikueleze ni kwamba NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii. Ni taasisi ambayo watu binafsi, mashirika ya umma na hata taasisi za serikali huitumia kwa ajili ya kuweka fedha zao ambazo huitwa mafao. Yapo mafao ya uzeeni, ulemavu, uzazi nk. Kwa kuwa fedha hizo ni nyingi, taasisi hiyo imekuwa ikijihusisha na uwekezaji kwenye miradi mbalimbali. Kwa maana hiyo, taasisi hiyo inafanya biashara kama wanavyofanya watu binafsi na wanatumia fedha za wanachama wao kama mtaji na dhamana katika biashara zao. Wanajenga majengo makubwa ya kibiashara, kuna mkakati pia wa kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme na kuiuzia TANESCO na huo mradi wa daraja la Kigamboni.
Kama hujui ni vema ukauliza ili ufahamushwe. Hivyo NSSF wanapowekeza kwenye miradi miradi hiyo si ya serikali. Ni mali ya NSSF
Barbarosa!umeandika ukiwa ndani ya akili zako timamu kweli? Soma tena Uzi wako!!Halafu Nenda pale ferry,angalia wakazi wa kigamboni wanavyopata usumbufu na vivuko halafu choo njoo usome Uzi wako..Nina hakika utarudi tena kuedit tu.Then Omba radhi!!wakazi wa kigamboni ni waelewa watakusamehe tu.