M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,037
kwanini wamemruhusu kuingia eneo la ujenzi bila kikinga kichwa? kuna mtu amemshikia badala ya kuvaa!
amevaa barakashia....kinga kutoka kwa mola! lol...
kwanini wamemruhusu kuingia eneo la ujenzi bila kikinga kichwa? kuna mtu amemshikia badala ya kuvaa!
juzi dau alinipigia simu.., kaniambia limekamilika kwa 75%
![]()
Kama akili yake ipo limited ulimpa like ya nini? Acha hizo wewe,ukweli ni kwamba Dau hawezi kuajiri mtu yeyote pale nssf labda nyumbani kwake
again?,yeah probably my brain is limited(according to you),but what about you,...u don`t even understand....eti kawaajiri...maewaajiri familia yako labda
Dau ni mjomba wako..? nauliza tu.., si nia mbaya hata kidogo..keep proving me right!! your brain is limited thats why you couldnt read between the line what i meant by saying 'kawaajiri hao'
Dau ni mjomba wako..? nauliza tu.., si nia mbaya hata kidogo..
Okay poa.., ila siku nyingine akienda kwenye shughuli za kiserikali avae mavazi rasmi ya ofisi, sio msikitini pale. Na pia afuate kanuni za usalama sehemu za ujenzi.., akidondokewa na nondo pale kichwani atamlaumu nani?! haoni wenzake wote wamevaa.., hata Anne makinda amevaa.hatuna hata urafiki achilia mbali undugu.
Okay poa.., ila siku nyingine akienda kwenye shughuli za kiserikali avae mavazi rasmi ya ofisi, sio msikitini pale. Na pia afuate kanuni za usalama sehemu za ujenzi.., akidondokewa na nondo pale kichwani atamlaumu nani?! haoni wenzake wote wamevaa.., hata Anne makinda amevaa.
Leo ni Ijumaa....
By the way, huyo mzee kwenye picha mwenye kanzu na kibaragashia bila hata kuvaa safety gear kama wenzake ni nani!?
Excuses are for loosers, yeye kama hajui taratibu za usalama sehemu za ujenzi ilibidi hata ajiulize tu, hivi huyu Anne Makinda na wenzake wanakichaa au..?! wamevaa madudu gani huko kichwani..?! Hapo ameonyesha unnecessary arrogance, hakuna lingine na hapa hana utetezi.point yangu kubwa ilikuwa.........wanaotakiwa wamwambie avae safety gear ni juniors wake na jinsi tunavyofanya kazi kibongobongo huwezi kumwambia boss wako avue kibaraghashia haswa boss mwenyewe akiwa na misimamo kama Dr Dau ndio kabisaaa!
Excuses are for loosers, yeye kama hajui taratibu za usalama sehemu za ujenzi ilibidi hata ajiulize tu, hivi huyu Anne Makinda na wenzake wanakichaa au..?! wamevaa madudu gani huko kichwani..?! Hapo ameonyesha unnecessary arrogance, hakuna lingine na hapa hana utetezi.
yes.., and thats what we call ARROGANCE. its not a good character for an individual to be branded with.unafikiri hajui kama anatakiwa kuvaa safety gears??!! anajua sana na kaamua kutovaa.
Daraji hii iko Kurasini pale TEC/Baraza la Maaskofu na inavukia Vijibweni. Huko hakuna meli zinazoingia wala kutoka na hilo daraja si la umeme na wala alifunguki na kufunga ni sawa na lile la Benjamin Mkapa au Malagarasi.Hofu yangu hivi ni yale ambayo meli kubwa ikipita linafunguliwa? Na huu umeme wetu wa kijiko? Msaada wadau nijuzeni tu.
Litakuwa kama yale majengo ya PSPF Moshi ambapo watu walihoji kulikoni hiyo haraka ya uzinduzi!
By the way, huyo mzee kwenye picha mwenye kanzu na kibaragashia bila hata kuvaa safety gear kama wenzake ni nani!?
Na hakika ametembelea site nyingi, utaratibu anaufahamu.., si lazime kukumbushwa.., inamaana Makinda alikumbushwa ila yeye wakamsahau?! Anatoa mfano mbaya sana.Hajalishi uwe nani Kuvaa PPE eneo la site ni lazima kwa ajili ya usalama wako. Hilo lilikuwa ni wajibu wa safety officer kumkumbusha Kuvaa hiyo kofia