Daraja la Kigamboni kuzinduliwa hivi karibuni

Daraja la Kigamboni kuzinduliwa hivi karibuni

hili lazima mkulu alipatie jina la ukumbusho wake, utasikia baba riziwani briji
 
Bado sana...barabara ya mandela kurasini kule haijaisha kabisaaa.
 
Kuna siku mchina aliulizwa daraja linakamilika lini akajibu "kabla ya uchaguzi" full siasa
 
Kwa style ya huyo bwashee hapo naona hata nssf kashaigeuza msikiti.kuswali na kufturu hapo hapo.

Wazungu wanasema the first thirty seconds will determine the next hour yan sekunde thelasini za mwanzo katika maongezi ya mtu zinatosha kutoa tafsiri ya kile atakachozungumzia lisaa lizima toka hii mada ianze nlikua na mashaka makubwa kwamba ina agenda iliyofichika dhidi ya daktari dau wataalam wa kufikiri kwa makini yaani great thinkers wanatuasa kwamba do not attack personalities wakiwa na maana kwamba mtu aliyeishiwa hoja atajikita zaidi kujadili utu wa mtu na si utendaji kazi wake...mada hapa ni daraja lakini napara mashaka zaidi kwamba comment zaid ztakazokuja ztajikita kumzungumzia dau na si daraja someni alama za nyakati acheni ajenda za kinafki
 
Huyo ndio kawaajiri wanaojenga hilo daraja!!! Hamna anaeweza kumwambua avue hio baraghashia! Hamna cha health and safety wala nini!

Kwa hio ndio avunje sheria? Hujui kuwa sheria ni msumeno? Hio company ya construction inatakiwa ishitakiwe kwa kosa hilo, tena ushahidi upo wazi kabisa.
 
Mambo yameanza kuwiva..!! wera wera..!!! bado zile suspension cables sasa zianze kutundikwa hapo.., DAR OYEEEE!!!!

DSC_0532.JPG

Safi sana.. endelea kutuupdate mkuu, angalau hapa NSSF wanatumia mafao yetu vizuri
 
wale wa kuponda kila kitu hawakosi cha kusema....afadhali daraja likamilike tuepuke karaha ya pantoni.
 
Okay poa.., ila siku nyingine akienda kwenye shughuli za kiserikali avae mavazi rasmi ya ofisi, sio msikitini pale. Na pia afuate kanuni za usalama sehemu za ujenzi.., akidondokewa na nondo pale kichwani atamlaumu nani?! haoni wenzake wote wamevaa.., hata Anne makinda amevaa.
kwani usalama ni kofia peke yake, mbona wote hawana satety shoes{buti} wamevaa viatu vya sikukuu, msiangalie upande mmoja tu, mkuu usalama sehemu za ujenzi sio kichwa tu,
 
wale wa kuponda kila kitu hawakosi cha kusema....afadhali daraja likamilike tuepuke karaha ya pantoni.

Kweli kabisa alafu value itazidi ongezeka ya maeneo huko
 
Hataliishe hilo daraja bado kura yangu ni kwa ukawa+el
 
Mzee Mkapa nae akagua daraja.., asifia serikali ya awamu ya 4 kwa kazi bomba..!

NSSF%2B3.JPG


NSSF%2B6.JPG
 
Hilo daraja ni ujenzi wa NSsf, hapo litakapo maliza itakuwa ndio kitega uchumi wao kuvuka sio bure, kwanini serikali imeshindwa kufanya ujenzi huu badala ya kuwapa NSsf? Bado tunasonga kwenye umasikini, tutaendelea kukamuliwa
 
Hilo daraja ni ujenzi wa NSsf, hapo litakapo maliza itakuwa ndio kitega uchumi wao kuvuka sio bure, kwanini serikali imeshindwa kufanya ujenzi huu badala ya kuwapa NSsf? Bado tunasonga kwenye umasikini, tutaendelea kukamuliwa
Serikali ina hisa asilimia 40% (Japo sidhani kama wamechangia kikamilifu hizo 40%). By the way hata angejenga mjomba wako.., bado kuna running costs, hivyo utalipia tu.
 
Back
Top Bottom