FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,525
- 46,612
juzi dau alinipigia simu.., kaniambia limekamilika kwa 75%
UPDATE: Linaziduliwa 16/04/2016. Limekamilika.
UPDATE: Linaziduliwa 16/04/2016. Limekamilika.
Litakuwa kama yale majengo ya pspf Moshi ambapo watu walihoji kulikoni hiyo haraka ya uzinduzi!
By the way, huyo mzee kwenye picha mwenye kanzu na kibaragashia bila hata kuvaa safety gear kama wenzake ni nani!?
Dr Dau, boss mkubwa wa NSSF
kwanini wamemruhusu kuingia eneo la ujenzi bila kikinga kichwa? kuna mtu amemshikia badala ya kuvaa!
eti kawaajiri.............sijui,mimi michango yango ndo imewaajiri....Tanzania tunasafari ndeeeeefu ambayo hata hatujaianza,hatujui kama tunatakiwa tuianze,Huyo ndio kawaajiri wanaojenga hilo daraja!!! Hamna anaeweza kumwambua avue hio baraghashia! Hamna cha health and safety wala nini!
eti kawaajiri.............sijui,mimi michango yango ndo imewaajiri....Tanzania tunasafari ndeeeeefu ambayo hata hatujaianza,hatujui kama tunatakiwa tuianze,
Hofu yangu hivi ni yale ambayo meli kubwa ikipita linafunguliwa? Na huu umeme wetu wa kijiko? Msaada wadau nijuzeni tu.
Msamehe.......Tatizo akili yako iko limited! Unachukua direct translation kwenye kila kitu!
Hofu yangu hivi ni yale ambayo meli kubwa ikipita linafunguliwa? Na huu umeme wetu wa kijiko? Msaada wadau nijuzeni tu.
dress code ya serikali ni ipi? kuhusu safety nakuunga mkonoDr Dau hapo amekosea, hiyo siyo dressing code ya serikali naona hata hakuzingatia sheria za usalama unapokuwa kwenye construction site. Hapo ni sawa na mtu kwenda na jinsi kazini kwenye ofisi za serikali...
Dr Dau hapo amekosea, hiyo siyo dressing code ya serikali naona hata hakuzingatia sheria za usalama unapokuwa kwenye construction site. Hapo ni sawa na mtu kwenda na jinsi kazini kwenye ofisi za serikali...
Tatizo akili yako iko limited! Unachukua direct translation kwenye kila kitu!
Angalau kazi ya maana imefanyika tutamkumbuka JK kwa uwekezaji katika miundo mbinu
Tatizo akili yako iko limited! Unachukua direct translation kwenye kila kitu!